DP World Washusha Meli yenye Kontena 4,000 Dar Port. Meneja TPA asema ni matokeo ya uwekezaji, adai huo ni Mwanzo tu

Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.
DP World wamechimba lini?
Ni mabadiliko gani waliyafanya kuwezesha kuleta meli kubwa ambayo sisi wenyewe tulishindwa kuyafanya?
Haya mabadiliko, kuongeza magati na kina, yalifanyika wakati wa Magufuli. Mengine haya ni kujitafutia ujiko kwa kazi za wengine.
 
Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.

Kina kimechimbwa kipindi cha JPM na Kodi za Watanzania, sio kina tu bali hata idadi ya berth ziliongezwa, kazi yote hiyo ilifanywa awamu ya tano ya JPM kwa kodi za Watanzania.

Awamu hii ilichofanya ni kumpa muwekezaji DP world.
 
Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇

Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam imeingiza meli ya kwanza yenye urefu wa mita 294.12 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji na maboresho yanayofanywa na kampuni hiyo katika kuendesha bandari hiyo.

Hayo yameelezwa na meneja mizigo mchanganyiko wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA, Abed Galusi.

My Take
Kasi ya kuondoa mzigo ili.kuepusha Msongamano itaendana? 👇👇
Meli kubwa ya MSC ADU V iliyobeba makasha 4,000 imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa meli yenye mzigo mkubwa wa makontena kuwasili Tanzania.

MSC ADU V iliyotengenezwa mwaka 2005 ina urefu wa mita 294.12 unaokaribiana na viwanja vitatu vya mpira wa miguu imetia nanga leo Jumamosi Juni 22, 2024.

Akizungumza na wanahabari Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abeid Gallus amesema ujio wa meli hiyo umetokana na maboresho yaliyofanyika katika bandari hiyo na uwekezaji wa Kampuni ya DP- World.

Gallus amesema bandari ya Dar es Salaam imefanya maboresho katika kina cha maji na ununuzi wa vitendea kazi vya kisasa.

Amesema mwanzo kulikuwapo na kina cha mita nane hadi 12.7 sasa hivi kipo 14.5 chenye uwezo wa kuingiza meli yenye urefu wa mita 305 na kina 13.5.

"Hii ni historia kwetu hapo mwanzoni tulikuwa tunaingiza meli zenye urefu wa mita 267, tumeongeza uwezo wa bandari yetu ya Dar es Salaam katika uingizaji wa meli.

"Uwezo wa utendaji kazi wa bandari ya Dar es Salaam utazidi kuimarika zaidi kwa sababu hivi sasa tuna mwekezaji mpya DP World aliyeanza kazi na mabadiliko yameonekana mfano ni meli hii kubwa,"amesema Gallus.

Gallus amefafanua kuwa katika usafirishaji ukipokea meli kubwa unaongeza kiwango cha mizigo unaokuja katika bandari husika sambamba na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo.

Pia Soma
- Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani
Si imeshakuja meli yenye zaidi ya hayo mwaka jana tukaambiwa maneno hayo hayo!
 
View: https://www.instagram.com/reel/C8h-GqeunLp/?igsh=MWZldTlmdGsyazN2Mw==
 
Haya wameyafanya hao DP World unaowasifia kabla hata hawajaanza kazi, au kwa kazi hiyo moja ya kuleta hiyo meli?

Una haraka ya nini, tupe mrejesho wa utendaji kazi wao baada ya mwaka mmoja, siyo sasa.
Wananchi wetu wenyewe walikwisha onyesha ufanisi, hata kabla ya hao DPWorld kuja hapo.
Huo ni Mwanzo tuu,mtajambishwa sana
 
Kina kimechimbwa kipindi cha JPM na Kodi za Watanzania, sio kina tu bali hata idadi ya berth ziliongezwa, kazi yote hiyo ilifanywa awamu ya tano ya JPM kwa kodi za Watanzania.

Awamu hii ilichofanya ni kumpa muwekezaji DP world.
Si wanajua Watanzania ni wasahaulifu....nimeona wachezaji wa Yanga walivyomwaga sifa jinsi mama alivyoleta SGR
 
Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇

Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam imeingiza meli ya kwanza yenye urefu wa mita 294.12 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji na maboresho yanayofanywa na kampuni hiyo katika kuendesha bandari hiyo.

Hayo yameelezwa na meneja mizigo mchanganyiko wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA, Abed Galusi.

My Take
Kasi ya kuondoa mzigo ili.kuepusha Msongamano itaendana? 👇👇
Meli kubwa ya MSC ADU V iliyobeba makasha 4,000 imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa meli yenye mzigo mkubwa wa makontena kuwasili Tanzania.

MSC ADU V iliyotengenezwa mwaka 2005 ina urefu wa mita 294.12 unaokaribiana na viwanja vitatu vya mpira wa miguu imetia nanga leo Jumamosi Juni 22, 2024.

Akizungumza na wanahabari Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abeid Gallus amesema ujio wa meli hiyo umetokana na maboresho yaliyofanyika katika bandari hiyo na uwekezaji wa Kampuni ya DP- World.

Gallus amesema bandari ya Dar es Salaam imefanya maboresho katika kina cha maji na ununuzi wa vitendea kazi vya kisasa.

Amesema mwanzo kulikuwapo na kina cha mita nane hadi 12.7 sasa hivi kipo 14.5 chenye uwezo wa kuingiza meli yenye urefu wa mita 305 na kina 13.5.

"Hii ni historia kwetu hapo mwanzoni tulikuwa tunaingiza meli zenye urefu wa mita 267, tumeongeza uwezo wa bandari yetu ya Dar es Salaam katika uingizaji wa meli.

"Uwezo wa utendaji kazi wa bandari ya Dar es Salaam utazidi kuimarika zaidi kwa sababu hivi sasa tuna mwekezaji mpya DP World aliyeanza kazi na mabadiliko yameonekana mfano ni meli hii kubwa,"amesema Gallus.

Gallus amefafanua kuwa katika usafirishaji ukipokea meli kubwa unaongeza kiwango cha mizigo unaokuja katika bandari husika sambamba na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo.

Pia Soma
- Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani
Mbona Bandari ya Mombasa zinakujaga sana bila uwekezaji wa Dp World Pale? Taifa la wapumbavu
 
Back
Top Bottom