Nakwambia wewe mtoto wa kike uliyekatwa kisimiKamwambie mamako
Inaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?Uko sahihi popoma. Bongo ina uhaba mkubwa wa wananchi wanaojielewa. Ukitoa makundi yafuatayo unaweza kukuta hata hao wanaojitambua 50k hawafiki;
1. Wafuasi wa Da Mange.
2. Wafuasi wa Mdude Chadema.
3. Wafuasi wa Dr Babutale.
4. Wafuasi wa manabii feki.
Nakwambia Kuna watu Wana vichwa vigumu kama jiwe!!Unakosea, shida sio DP WORLD kufanya kazi wapi shida mkataba tunaoingia nao kufanya kazi. Acha kuangalia ukubwa wa kampuni hilo halituhusu sana sisi tunaangalia huo mkataba unatija gani kwetu kama taifa. Nimegundua umesoma lakini haupo kati ya hao 50,000 uliowataja hapo maana umeanza kuangalia ukubwa wa kampuni hiyo, sisi inatija gani kwetu. Kwani makampuni yaliyowahi kuingia mikataba mikubwa hapa bongo yalitoka wapi na tukapigwa. Si nihukohuko abroad mf. uingereza, marekani n.k sasa wewe unakuja na hoja ya ukubwa wa kampuni na inapofanya kazi. Hata kama ingekua inafanya kazi bandari za U.S.A
Yani wewe mkeo akiona hii atachepuka Kwa Kuwa ataamini atazaa vilazaNguvu inayotumika kupinga DP World ingetumika kupiga na kupambana na majizi na mafisadi nchini humu tungekuwa mahali pazuri angalau.
Mkuu roadmaster huyu bwege anataka u DED. si kwa uchawa huu wa kujitoa ufahamu.Inaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?
Pili !! Mkataba wa UK na huu ni sawa!??
Duuu watu wagumu kuelewa kama " jiwe"!!
Halafu unakuta unautaka ukuu wa waliya!! Fxck yuuu
wapo uingereza hadi marekani. hatubishi. tunachobisha, hao wenzetu wameweka mkataba kama huu wa kwetu? hata sisi tunapenda DP WORD walete uwekezaji. na ni dhahiri kwasababu wao wamedominate kwenye hiyo tasnia watakuwa na dili za meli nyingi, meli nyingi zitapita dsm port na mombasa itavurugwa mbaya. hiyo ni faida kwetu. hoja yetu ni vipengele vya mikataba, kwanza kutokuwa na ukomo na pili, kutokuturuhusu kujenga bandari ingine kwenye huo muda usio na ukomo. kwahiyo hatutaendeleza bandari ya bagamoyo, tanga, wala mtwara, ziwa tanganyika etc? hapo unasemaje?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Ndugu Roadmaster unadhani matusi yako ni mapya? Jitahidi kuwa mbunifu angalau kwenye matusi kwasababu ndo jambo unaloweza. Kasafishe hicho kinyeo chako ndo uje u-comment hapaInaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?
Pili !! Mkataba wa UK na huu ni sawa!??
Duuu watu wagumu kuelewa kama " jiwe"!!
Halafu unakuta unautaka ukuu wa waliya!! Fxck yuuu
Hiyo Uengereza inaongozwa na CCM?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Wape na mkeo pia,wako vizuri.Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Bhangi ni kweli haijawahi kumwacha mtu salama.kichwa kisichokuw na akili ni mzigo kwa shingo.Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Unasema kwamba mkataba ulioletwa Tanzania au unaotaka kusainiwa ndiyo huo unaotumika pale Uingereza au sijakuelewa chiefYaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Hii inchi ina majizi na mafisadi wengi bora Dp World wapewe bandari chapu waiendeshe kitaalamu zaidi.Yani wewe mkeo akiona hii atachepuka Kwa Kuwa ataamini atazaa vilaza
Na Uingereza nako bandari zote mpaka inayofanana na ya Kibirizi nayo wamepewa DPW?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Je mkataba walioingia na Uingereza unafana na huu wa Tanganyika? Maana kuna uwezekanao mkubwa kwamba kuna vifungu ambavyo huku Tanganyika vimewekwa kwa ajiliya kuibana Tanganganyika, lakini kule kwa waingereza havikuwekwa maana walivikataa.Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Sis hatuna upo kwa wabunge na viongozi wa diniBado hakuna mkataba wa DP World, kama wewe unao tuwekee.
Mkataba wa Uingereza una masharti gani na mkataba wa Tanzania una masharti gani ?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?