KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Whatever lakini kwanini watu wanabishana na maandishi?Vita ya kiuchumi siyo ya mchezo mchezo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Naona hujayasikia yaliyoongewa hapo. Roho mbaya tu, unaacha hoja unaanza ya uzee. Fala kweli wewe.
Utakufa nacho kijiba cha roho.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Huyo kwao alipoizaliwa ni Kariakoo, mtaa wa Aggrey na sasa anaishi Ilala, kigamboni labfa ana kwake pia, maana watu wote wa Kariakoo Dar, wana vijishamba vyao nje ya jiji, hiyo ni toka enzi na enzi.Anaishi Kigamboni huyu
Muuza Madawa.Kwanini huyu jamaa aliitwa zungu!??
au lilikuwa zungu la mkaa
Wao waondoke tu maendeleo yaje, siku 90 nyingi sanaKariakoo Dar es Salaam wakazi wake wapatao 5,000 kuondolewa katika majengo , nani yupo nyuma ya mradi huu mkubwa wa kuvunja majengo yanayoitwa chakavu Mh. Musa Azzan Zungu ?
Wakaazi wa Kariakoo wajiuliza notisi hii kwa mamia na maelfu spidi yake nani yupo nyuma yake Mh. Zungu
Naona huelewi maana ya mikataba ya IGA na HGA. Ukiilewa hutouliza tena hilo swali. Isikilize hiyo video clip iliyopo post namba moja, naibu spika anatowa darsa kuhusu ni nini IGA na nini HGA.Whatever lakini kwanini watu wanabishana na maandishi?
A itabaki kuwa A.
Kilichoandikwa kisipobadilishwa kwa kuandikwa, hakiwezi kubadilishwa kwa utetezi wa kwenye majukwaa!!
Halafu Mwarabu hana lolote
Mnatumia nguvu mno.Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Yamekusanywa majinga kwaajili ya kushangilia. Majitu yanashamgilia hata kabla ya kutamkwa chochote, unashangilia nini?Jioneeni[emoji1484]
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Yupo around 70, sifahamu exactly ni mingapi lakini hazidi wala hapunguwi sana kwenye 70.Zungu ana umri gani yarabi!
Mungu ampe wepesi
Duuh hatari sasa mtu mwenye historia kama huyo ndio anakuwa naibu spika!!?Muuza Madawa.
Hiyo ndio miaka ya BibliaYupo around 70, sifahamu exactly ni mingapi lakini hazidi wala hapunguwi sana kwenye 70.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Kawaida yangu, hujanisoma kiutuvu tu.Umetumana kiume Leo.
Mbona Mbowe ana biashara zake huko Dubai?...Halafu Mwarabu hana lolote
Kila mmoja ana jaribu kuongea uongo wake. Ccm imesha laaniwa. Wana tupa miguu kama kuku wa mganga.Jioneeni[emoji1484]
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Hivi nini tofauti ya MKATABA na MAKUBALIANO?Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Mwongo wewe.Muuza Madawa.
Hakuna asiyekuwa na akili, Mwenyezi Mungu hafanyi ubaguzi.Hata sisi tuna akili, msifikiri mtatuburuza kama mnavyotaka.