DPP anaposhindwa kuendesha kesi kwa MIAKA MINNE si ashitakiwe?

Biswalo Maganga tungekuwa tunafuata sheria na katiba angekuwa kashanyongwa huyo mtu.
 
Watanzania wengi wanafikiri wapo salama. Ni lazima tujaribu kulizungumzia hili jambo au basi kuwe na sheria ya kikomo cha upelelezi, bila hivyo ni shida.
Kuna watu pia wanatengenezewa mazingira makusudi ya kesi au kubambikwa kesi na hawajui kujitetea au kujieleza.. It is so sad.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa. ofisi ya DPP inaumiza na kukandamiza haki za raia. Yaani Tanzania ukishakuwa mtuhumiwa tu, mpaka kesi kuisha ni umehukumiwa tayari maana muda unaokaa kusibiri majibu hasara na mateso utakayopata aisee omba Mungu haya mambo yasikutokee.

Kesi zinakaa zaidi ya mwaka majibu bado kutoka na huku mtuhumiwa unabaki kuripoti kituo cha polisi au kukaa ndani kwa mda mrefu.

Inauma sana hasa pale unapokuwa huna kosa halafu yanakutokea haya.

Hii huwa inajenga visasi bila watu kujua. Kuna wengine huwezi wapotezea muda kiasi hicho ilihali hana hatia, utamlipa kwa namna yoyote ile maana sheria pia haimpi mtuhumiwa huyu kudai fidia.

Wahusika mpo humu liangalieni hili, WATU WANATESEKA SANA, wale nao pia ni wanadamu na raia kama nyie.

Ofisi ya DPP ianze kukamilisha utoaji wa majibu mapema.

Kuna wakuu wamesema DPP anyongwe, yaani laana zote na mateso wanayopitia wale wote wenye kupitia hali hii impate popote alipo. WAHUSIKA LICHUKUENI HILI TAFADHALI WATU WANAUMIA.

Kesi ya kawaida inachukua miaka 2 au zaidi kupata majibu, kisha baada ya muda huo wote unakuta mhusika hana hatia, imagine huyu mtu kateseka namna gani? Aisee acheni unyama angalieni utekelezaji wa majukumu ofisi ya DPP.
 
Wanasheria wa serikali ni watu wako laissez faire mno.
Mtu anakaaje ndani kwa miaka minne au mitano bila kesi kusikilizwa?
Ati uchunguzi haujakamilika, sasa mtu ulimkamata kwa hati za kughushi?
Mkuu hayajakukuta. Yapo na watu wanaumia sana.
 
Watanzania wengi wanafikiri wapo salama. Ni lazima tujaribu kulizungumzia hili jambo au basi kuwe na sheria ya kikomo cha upelelezi, bila hivyo ni shida.
Kuna watu pia wanatengenezewa mazingira makusudi ya kesi au kubambikwa kesi na hawajui kujitetea au kujieleza.. It is so sad.
HAKUNA RAIA ALIYE SALAMA. Ukisema sheria ifuatwe vizuri kabisa kwa katiba yetu hii hakuna RAIA atabaki mtaani. Wote wangekuwa mahabusu. Hili la DPP wazee it's too much. Ni utumwa kabisa.
 
Wanasheria wa serikali ni watu wako laissez faire mno.
Mtu anakaaje ndani kwa miaka minne au mitano bila kesi kusikilizwa?
Ati uchunguzi haujakamilika, sasa mtu ulimkamata kwa hati za kughushi?
Halafu walivyo wapuuzi mtuhumiwa akiachiwa na hakimu kwa kifungu kidogo cha 225# baada ya kukaa mahabusu miaka hata minne,, utaona wanamkamata Tena uyo mtuhumiwa na kesi kuhamishia kwa hakimu mwingine,,inakuwa Kama mpya Sasa, hapo unaenda kukaa Tena ndani hata kwa miaka mitatu mingine
 
Hii idara ya DPP ivunjiliwe mbali iundwe upya na watu wapya na terms Mpya ikiwemo isiruhusiwe mtu kupandishwa kizimbani bila upelelezi na ushahidi kukamilika
 
No kweli kabisa mkuu, pengine inahitaji ofisi ya DPP wachukuliwe hatua kali zaidi ya Kunyongwa, ili wananchi waone haki inatendeka.
Au wachomwe moto maana huu ni zaidi ya ushetwani! Umuweke ndani mwenzio kwa miaka minne kisha Ijumaa au Jumapili unakwenda kumuomba Mungu?
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa. ofisi ya DPP inaumiza na kukandamiza haki za raia. Yaani Tanzania ukishakuwa mtuhumiwa tu, mpaka kesi kuisha ni umehukumiwa tayari maana muda unaokaa kusibiri majibu hasara na mateso utakayopata aisee omba Mungu haya mambo yasikutokee.

Kesi zinakaa zaidi ya mwaka majibu bado kutoka na huku mtuhumiwa unabaki kuripoti kituo cha polisi au kukaa ndani kwa mda mrefu.

Inauma sana hasa pale unapokuwa huna kosa halafu yanakutokea haya.

Hii huwa inajenga visasi bila watu kujua. Kuna wengine huwezi wapotezea muda kiasi hicho ilihali hana hatia, utamlipa kwa namna yoyote ile maana sheria pia haimpi mtuhumiwa huyu kudai fidia.

Wahusika mpo humu liangalieni hili, WATU WANATESEKA SANA, wale nao pia ni wanadamu na raia kama nyie.

Ofisi ya DPP ianze kukamilisha utoaji wa majibu mapema.

Kuna wakuu wamesema DPP anyongwe, yaani laana zote na mateso wanayopitia wale wote wenye kupitia hali hii impate popote alipo. WAHUSIKA LICHUKUENI HILI TAFADHALI WATU WANAUMIA.

Kesi ya kawaida inachukua miaka 2 au zaidi kupata majibu, kisha baada ya muda huo wote unakuta mhusika hana hatia, imagine huyu mtu kateseka namna gani? Aisee acheni unyama angalieni utekelezaji wa majukumu ofisi ya DPP.
Sekta ya Sheria imeoza kabisa.
Si DPP wala Mahakama.
Mahali wana amrishwa na wanasiasa.
DPP Ndiyo kabisaaa yupo pale kama kikaragosi tu.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa. ofisi ya DPP inaumiza na kukandamiza haki za raia. Yaani Tanzania ukishakuwa mtuhumiwa tu, mpaka kesi kuisha ni umehukumiwa tayari maana muda unaokaa kusibiri majibu hasara na mateso utakayopata aisee omba Mungu haya mambo yasikutokee.

Kesi zinakaa zaidi ya mwaka majibu bado kutoka na huku mtuhumiwa unabaki kuripoti kituo cha polisi au kukaa ndani kwa mda mrefu.

Inauma sana hasa pale unapokuwa huna kosa halafu yanakutokea haya.

Hii huwa inajenga visasi bila watu kujua. Kuna wengine huwezi wapotezea muda kiasi hicho ilihali hana hatia, utamlipa kwa namna yoyote ile maana sheria pia haimpi mtuhumiwa huyu kudai fidia.

Wahusika mpo humu liangalieni hili, WATU WANATESEKA SANA, wale nao pia ni wanadamu na raia kama nyie.

Ofisi ya DPP ianze kukamilisha utoaji wa majibu mapema.

Kuna wakuu wamesema DPP anyongwe, yaani laana zote na mateso wanayopitia wale wote wenye kupitia hali hii impate popote alipo. WAHUSIKA LICHUKUENI HILI TAFADHALI WATU WANAUMIA.

Kesi ya kawaida inachukua miaka 2 au zaidi kupata majibu, kisha baada ya muda huo wote unakuta mhusika hana hatia, imagine huyu mtu kateseka namna gani? Aisee acheni unyama angalieni utekelezaji wa majukumu ofisi ya DPP.
Eneo la Mahakama, DPP linahitaji mufumuliwa kabisa na kuundwa upya.
Ni sehemu ya waganga njaa tu.
Mtu anabambikwa kesi halafu akiwa ndani ati mkae na DPP "kuelewana".

Sijui watu hawa wamesoma wapi sheria.
 
Vyombo Vya Serikali Vimejaa Ubabaifu Mwingi Sana
Watu Wanateseka
Wao Kupokea Salary Tu
 
Back
Top Bottom