guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uhakika angekuwa amekwisha chukuliwa hatua za kisheria.Biswaro Maganga tungekuwa tunafuata sheria na katiba angekuwa kashanyongwa huyo mtu.
Mahakimu na majaji wanakubali vipi huo ujinga.Wanasheria wa serikali ni watu wako laissez faire mno.
Mtu anakaaje ndani kwa miaka minne au mitano bila kesi kusikilizwa?
Ati uchunguzi haujakamilika, sasa mtu ulimkamata kwa hati za kughushi?
Mkuu hayajakukuta. Yapo na watu wanaumia sana.Wanasheria wa serikali ni watu wako laissez faire mno.
Mtu anakaaje ndani kwa miaka minne au mitano bila kesi kusikilizwa?
Ati uchunguzi haujakamilika, sasa mtu ulimkamata kwa hati za kughushi?
HAKUNA RAIA ALIYE SALAMA. Ukisema sheria ifuatwe vizuri kabisa kwa katiba yetu hii hakuna RAIA atabaki mtaani. Wote wangekuwa mahabusu. Hili la DPP wazee it's too much. Ni utumwa kabisa.Watanzania wengi wanafikiri wapo salama. Ni lazima tujaribu kulizungumzia hili jambo au basi kuwe na sheria ya kikomo cha upelelezi, bila hivyo ni shida.
Kuna watu pia wanatengenezewa mazingira makusudi ya kesi au kubambikwa kesi na hawajui kujitetea au kujieleza.. It is so sad.
Halafu walivyo wapuuzi mtuhumiwa akiachiwa na hakimu kwa kifungu kidogo cha 225# baada ya kukaa mahabusu miaka hata minne,, utaona wanamkamata Tena uyo mtuhumiwa na kesi kuhamishia kwa hakimu mwingine,,inakuwa Kama mpya Sasa, hapo unaenda kukaa Tena ndani hata kwa miaka mitatu mingineWanasheria wa serikali ni watu wako laissez faire mno.
Mtu anakaaje ndani kwa miaka minne au mitano bila kesi kusikilizwa?
Ati uchunguzi haujakamilika, sasa mtu ulimkamata kwa hati za kughushi?
Au wachomwe moto maana huu ni zaidi ya ushetwani! Umuweke ndani mwenzio kwa miaka minne kisha Ijumaa au Jumapili unakwenda kumuomba Mungu?No kweli kabisa mkuu, pengine inahitaji ofisi ya DPP wachukuliwe hatua kali zaidi ya Kunyongwa, ili wananchi waone haki inatendeka.
Unafiki wa hali ya juu.Au wachomwe moto maana huu ni zaidi ya ushetwani! Umuweke ndani mwenzio kwa miaka minne kisha Ijumaa au Jumapili unakwenda kumuomba Mungu?
Sekta ya Sheria imeoza kabisa.Mtoa mada upo sahihi kabisa. ofisi ya DPP inaumiza na kukandamiza haki za raia. Yaani Tanzania ukishakuwa mtuhumiwa tu, mpaka kesi kuisha ni umehukumiwa tayari maana muda unaokaa kusibiri majibu hasara na mateso utakayopata aisee omba Mungu haya mambo yasikutokee.
Kesi zinakaa zaidi ya mwaka majibu bado kutoka na huku mtuhumiwa unabaki kuripoti kituo cha polisi au kukaa ndani kwa mda mrefu.
Inauma sana hasa pale unapokuwa huna kosa halafu yanakutokea haya.
Hii huwa inajenga visasi bila watu kujua. Kuna wengine huwezi wapotezea muda kiasi hicho ilihali hana hatia, utamlipa kwa namna yoyote ile maana sheria pia haimpi mtuhumiwa huyu kudai fidia.
Wahusika mpo humu liangalieni hili, WATU WANATESEKA SANA, wale nao pia ni wanadamu na raia kama nyie.
Ofisi ya DPP ianze kukamilisha utoaji wa majibu mapema.
Kuna wakuu wamesema DPP anyongwe, yaani laana zote na mateso wanayopitia wale wote wenye kupitia hali hii impate popote alipo. WAHUSIKA LICHUKUENI HILI TAFADHALI WATU WANAUMIA.
Kesi ya kawaida inachukua miaka 2 au zaidi kupata majibu, kisha baada ya muda huo wote unakuta mhusika hana hatia, imagine huyu mtu kateseka namna gani? Aisee acheni unyama angalieni utekelezaji wa majukumu ofisi ya DPP.
Majaji, Mahakimu na Waendesha mashitaja na hata Polisi, most inept and corrupt.Mahakimu na majaji wanakubali vipi huo ujinga.
Mhimili huu wa MAHAKAMA umefeli kabisa katika matarajio ya watanzania.Mahakimu na majaji wanakubali vipi huo ujinga.
Nashangaa mama mpka leo hajampiga chini uyu mtuBiswalo Maganga tungekuwa tunafuata sheria na katiba angekuwa kashanyongwa huyo mtu.
Kiukweli kashindwa kazi.Nashangaa mama mpka leo hajampiga chini uyu mtu
Eneo la Mahakama, DPP linahitaji mufumuliwa kabisa na kuundwa upya.Mtoa mada upo sahihi kabisa. ofisi ya DPP inaumiza na kukandamiza haki za raia. Yaani Tanzania ukishakuwa mtuhumiwa tu, mpaka kesi kuisha ni umehukumiwa tayari maana muda unaokaa kusibiri majibu hasara na mateso utakayopata aisee omba Mungu haya mambo yasikutokee.