DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

Huenda wananchii trip hii nasisi tutabilisha mbinu hatutachanga pesa ila tutachanga nguvu.


Sent from my GM1910 using Tapatalk
 
Kwanini alifunga jalada la Akwilina haraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini huyu DPP hana ubunifu yeye ndie uwafanya mahabusu kurundikana jela kwa furaha yake kuona jamii ikiteseka,utadhani ajawahi soma history akajifunza mambo ya rise and fall of kingdom kwann amshauri msukuma mwenzake vizuri kuliko kumchonganisha na watu
 
Zombie la Yohanna katika ubora wake
 
Ni funga meza huyo
Hivi huyu DPP Ni kabila gani? Kama Ni mpare haijapata kutokea.muda wote anawaza kupambana Na upinzani....kesi ya kina lugola haieleweki lini inafunguliwa...

In God we Trust
 
DPP KWAMBA
Anaitafakari hiyo hukumu isipomridhisha anakata rufaa?
 
Huyu naye si atulize papa anawashwa nini?
 
Kata hata kesho kudadeki !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…