DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Bado wako na hamu ya allowances. Za Mbowe zili wanogea.
 
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Alimwagiwa tindikali nini? au gazeti lilifungiwa na konda boy?
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?

Clouds hawathubutu maana wanajua wanaweza kufungua kesi, kisha kesho ama keshokutwa akarudi tena madarakani.

Wanajua nini kitawakuta hilo likitokea.
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Walitishwa wakatishika,hatuna uhakika labda nao wana makando kando yao mengine ambayo yangefunuliwa endapo wangeshitaki wao directly.

May be.
 
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.

Pia soma
Kwavipi hana maslahi wakati Kubenea ni mwananchi na mlipa kodi, vinginevyo wanasema watawaliwa hatuhusiki na maovu ya watawala wawapo madarakani!

Haiwezekani.
 
Locus standi

Ni ile hali ya kuonesha Wewe umeathirika au una faida gani au hasara gani unapata kutokana na tukio lililetwa au kukusudiwa kuletwa Mahakamani

Mf. Mimi Pohamba sina Maslahi kwny Kesi ya mgogoro wa KKKT kule Mbeya hivyo kwa namna yeyote ile sina maslahi kwny kesi zinazohusu tukio lile
Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
 
Kushambulia media moja au mtangazaji mmoja ni kuitia hofu tasnia nzima ya uandishi wa habari isiweze kufanya kazi zake kwa uhuru na weledi unaotakiwa.

Hujawahi kusikia waandishi wanagoma kutoa habari za viongozi kwa sababu mwenzao mmoja amekamatwa?
Alimwagiwa tindikali nini? au gazeti lilifungiwa na konda boy?
 
Back
Top Bottom