Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kubenea ameamua kulipa ubaya kwa wema.
Kuna tatizo hapo?
Kuna tatizo hapo?
kubenea yalimkuta lakini hakuna aliyegoma wala kulaani... ulimboka balozi yalimkuta nazani tuna elewa... walilaani lakini media ziliendelea kutoa habari kwa wananchi... wangeendelea kuweka habari za diamondi na zari au simba na yanga... walishindwa sababu walipo kuwa wanapeleka taarifa ndipo na yeye yupo utamgusa tu... na baadae una funuliwa faili lako, na ukizingatia media nyingi zina ujanja ujanja haziendi na sheria zote...
CDM waliwafukuza TBC lakini kilicho tokea?