Acha upumbavu Makonda unamwangalia hivo wewe na mjinga wenzako!
Sie tunamuona ni mtu mzalendo na mchapakazi!
Endelea kufikiria ujinga na hao wajinga wenzio!
Sie tunamuona ni mtu mzalendo na mchapakazi!
Endelea kufikiria ujinga na hao wajinga wenzio!
Argument yako ina substance ila sijui kama una case law ikaongeza nyama!
Hata hivyo makonda asiposhitakiwa nadhan tayar anajihisi mishale ya moyo. Hakuna adhabu kubwa kama kukataliwa na jamii na kuangaliwa vibaya hasa hili la kuwa muuaji!. Hatapata raha ya kuishi kamwe! Ni kama hakuwa ameiva kufanya mazito kivile ndo mana anajificha mgongo wa kwaya na ibada! He is already dead inside, afterall!