DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

Hawajitambui kabisa. Yani mtu mwingine anakutetea wewe unasema Sina shida.
wao waliishasamehe hasa baada ya aliyekuwa boss wao kusuruhishwa hadharani na rais.

huyo kama ana maslahi nalo basi aelezee ni kwa namna gani.
 
Wadau naomba kuuliza Makonda anashtakiwa kwa Kutumia Madaraka vibaya akiwa Kiongozi km Kuvamia Clouds
Kubandika Namba ya RC kwenye Magari binafsi n.k
Cha kushangaza DPP na DCI WANAPINGA Je kwanini WANAPINGA je ni HALALI kwa MKUU wa MKOA kufanya ALIYOYAFANYA MAKONDA? Na kama Alimshtaki hana Maslahi ni NANI ANASTAHIRI KUMSHTAKI?
Wataonekna wanafundishwa Kazi.

We ungekubal???
 
Makondaaa!!!!

Tembea kifua mbele, labda Trample akushitaki yeye, wengine waendelee tu na kuandika udaku wa vigazeti vyap
 
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Hiyo ni CCM wing kama ilivyo polisi.

Hawana tofauti na UVCCM.
 
Nimemsaidia Muuliza swali nini maana ya Kuwa na maslahi kwny kesi…sina maoni binafsi kwny hili la kesi ya Makonda …naona unajibu kama vile nimeunga mkono
Kushambulia media moja au mtangazaji mmoja ni kuitia hofu tasnia nzima ya uandishi wa habari isiweze kufanya kazi zake kwa uhuru na weledi unaotakiwa.

Hujawahi kusikia waandishi wanagoma kutoa habari za viongozi kwa sababu mwenzao mmoja amekamatwa?
 
aiseee kila mbuzi ula kwa ukubwa wa kamba yake
 
16B76766-92A0-4CF6-B206-094A15F7A4AC.jpeg
FBA00CD3-C1FB-4594-91A7-A5D67116D86D.jpeg
 
Back
Top Bottom