Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Makundu anatumia hirizi sijui!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wao waliishasamehe hasa baada ya aliyekuwa boss wao kusuruhishwa hadharani na rais.Hawajitambui kabisa. Yani mtu mwingine anakutetea wewe unasema Sina shida.
Wataonekna wanafundishwa Kazi.Wadau naomba kuuliza Makonda anashtakiwa kwa Kutumia Madaraka vibaya akiwa Kiongozi km Kuvamia Clouds
Kubandika Namba ya RC kwenye Magari binafsi n.k
Cha kushangaza DPP na DCI WANAPINGA Je kwanini WANAPINGA je ni HALALI kwa MKUU wa MKOA kufanya ALIYOYAFANYA MAKONDA? Na kama Alimshtaki hana Maslahi ni NANI ANASTAHIRI KUMSHTAKI?
Uovu wa makonda ni upi?Kwavipi hana maslahi wakati Kubenea ni mwananchi na mlipa kodi, vinginevyo wanasema watawaliwa hatuhusiki na maovu ya watawala wawapo madarakani! Haiwezekani.
Hiyo ni CCM wing kama ilivyo polisi.Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Hayupo kwa sababu hamna kesiWATUAMBIE NI NANI ANAPASWA KUFUNGUA?
Kushambulia media moja au mtangazaji mmoja ni kuitia hofu tasnia nzima ya uandishi wa habari isiweze kufanya kazi zake kwa uhuru na weledi unaotakiwa.
Hujawahi kusikia waandishi wanagoma kutoa habari za viongozi kwa sababu mwenzao mmoja amekamatwa?
HahahahaMa nini
RealNi kwa sababu Kubenea amewajumuisha pamoja na huyo Makonda kwa uzembe wa kutomfungulia mashtaka, kutokana na matumizi yake mabaya ya madaraka alipokuwa RC wa Dar.
Kwa sababu Makonda ni boss utaelewa baadaeKwa sababu wanampango nae kwa utumishi wa Baadae.