Bado wako na hamu ya allowances. Za Mbowe zili wanogea.DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Kwamba wewe una kiherehere tu!Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Kwamba haikuhusu... haunufaiki, hauguswi kwa namna yoyote...Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
Alimwagiwa tindikali nini? au gazeti lilifungiwa na konda boy?Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Hata kama ni mtazamaji wa Clouds tv?kwamba haikuhusu... haunufaiki, hauguswi kwa namna yoyote...
Tujifunze kwa swala job pale mbatia alipo jitia kimbelembele...Hata kama ni mtazamaji wa Clouds tv?
Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Kwanini nyie chadema msiende kumfungulia kesi?Clouds hawathubutu maana wanajua wanaweza kufungua kesi, kisha kesho ama keshokutwa akarudi tena madarakani. Wanajua nini kitawakuta hilo likitokea.
Kwanini nyie chadema msiende kumfungulia kesi?
Si mlisema akitoka madarakania atakiona cha moto?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Vipi hamna shida nae tena?Onyesha mahali cdm walisema hivyo.
Walitishwa wakatishika,hatuna uhakika labda nao wana makando kando yao mengine ambayo yangefunuliwa endapo wangeshitaki wao directly.Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Kwavipi hana maslahi wakati Kubenea ni mwananchi na mlipa kodi, vinginevyo wanasema watawaliwa hatuhusiki na maovu ya watawala wawapo madarakani!DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
Bado hujaelewa, huyo ndio kijana mtiifu kwa Sasa huko jikoniBaada ya kuusoma uzi wa Dark Days 17/03, nimeelewa kwanini wanahangaika kuweka pigamizi, nadhani branch Manager ametishia mwanga mboga -namwaga ugali. They will be further exposed
Alimwagiwa tindikali nini? au gazeti lilifungiwa na konda boy?