DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

Kubenea ameamua kulipa ubaya kwa wema.
Kuna tatizo hapo?
 
Kubenea ni keherehere maana yake aisee kubenea fanya kazi upate ugali achana na kesi zisizokuwa na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…