hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Ww si mzee wa kubishana bila hojaHapo ndio unaona umetupoteza maboya na wala hatujui mleta mada anamaanisha nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww si mzee wa kubishana bila hojaHapo ndio unaona umetupoteza maboya na wala hatujui mleta mada anamaanisha nini.
Yes hakuna kikao kilichobariki majina haya kwenda yuko sahihiMi nasubili hiyo ijumaa kikao Cha kamati kuu,kitasemaje kuhusu hili sakata,maana leo,Katibu mnyika,amekana hakuna kikao kilichobariki Hawa 19,kwenda.
Tanzania is now 100% a vurugu vurugu republic hakuna sheria tena mkuu na kama ipo inatumika kwa wanyonge tuKuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.
Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.
Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!
Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Who cares?Kuna jinai kubwa imetendeka.

Harafu wakamuamuru spika awalindeCHADEMA wamefanya haya yote wao tena watu wazito kwa maslahi mapana ya matumbo yao.
Wamefikia hatua ya kughushi nyaraka ili wapatikane Wabunge wa Upinzani kwa dirisha LA viti maalum kusudi wahalalishe haramu.Bunge letu linanajisiwa mchana kweupeee!Kuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.
Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.
Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!
Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Dola jinai!Hii Scandal ni kubwa sana, Tanzania haiwezi kuheshimiwa tena; GOVERMENT kutengeneza FRAUD; sasa tumekuwa LAWLESS STATE! TUTAAMINI Document ipi ya SERIKALI?
Hii inatoa imani kabisa, unforgivable, UNFORGIVABLE, must be punished!!
Nakubaliana na mtoa hoja 100%. Mambo kama haya yakiruhusia na kuendelea na kuhalalishwa ndani ya nchi, taifa hili huko tuendako litakuwa taifa lisilokuwa na miiko na maadili. Ni vizuri kuheshimu taratibu tulizojiwekea. Sheria na katiba na busara zitumike kulinda heshima ya taifa letu.Kuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.
Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.
Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!
Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Mkuu chadema walikaa vikao na wakikubali majina yaendeee
Kosa la Mdee ni kupeleka majina tofauti na ya wakuu zake ambao Walitaka wawepo
Hiyo ndio shida
Huu ni uhuni organized na papaa pedesheeKuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.
Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.
Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!
Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Nashauri chama kiwavue uongozi wote na Bawacha nafasi napendekeza akaimu mama Suzana Kiwanga au Catherine RugeWatawala wetu sasa hawaoni aibu tena kuvunja Katiba na kufuata sheria zinazoiongoza nchi.
Ndio maana nikisoma mahojiano aliyofanyiwa Matiko na moja ya chombo cha habari nae anaonesha alibebwa tu toka pasipojulikana akaenda kuapishwa Dodoma.
Japo Chadema kama chama kikuu walitakiwa wawe na intelijensia ya kun'gamua hilo mapema, hizi tetesi zilishakuwepo muda.
Pamoja na yote hayo, chama kinatakiwa kuwachukulia hatua kali wahusika wote wa huo mchezo wakithibitika kukiuka makubaliano, wakianza na viongozi wao Mdee na Bulaya, kwasababu hilo lipo ndani ya uwezo wao.
Baada ya hapo ndio waripoti hiyo jinai polisi, tuone kama Sirro anaweza kujitutumua kufanya chochote, kwasababu inaonekana hao wasaliti hata ulinzi wa serikali wamepewa.
Mnyika anazo fomu alizopewa na NEC na kulingana na katiba ya chama chao hakuna kikao kilichofanyika kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum. Ndiyo kusema kulikuwa na njama ya kukwepa vikao rasmi. Hao wabunge wanaweza baadaye kuja kuwa mashahidi wa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuvinja katiba.Mnyika ametoa ufafanuzi mzuri sana.
Hapo kwenye form no. 8(d) inayotakiwa kuwasilishwa bungeni ikiwa na jina la mhusika na Mnyika amesema bado anazo form zote, hii pekee inaonesha nchi inavyoendeshwa kiajabu siku hizi.
Taasisi zote hazifuati sheria tena, wanafanya mambo ya ajabu.
Walikaa vikao 3, na majina yaliteuliwa ingawa sio majina hayo yaliopelekwa hapo ndio shida ilipoMnyika anazo fomu alizopewa na NEC na kulingana na katiba ya chama chao hakuna kikao kilichofanyika kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum. Ndiyo kusema kulikuwa na njama ya kukwepa vikao rasmi. Hao wabunge wanaweza baadaye kuja kuwa mashahidi wa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuvinja katiba.
Mbowe kachukua bilion 3 toka CCM yupo home anawachora watu huku akibuni mbinu za kuwahadaa watanzania lakini kachelewaBila kukwepesha ukweli hapa naona kuna 'usanii' viongozi wa CHADEMA wamefanya au lugha nyepesi kuna mtu 'kazungukwaa', haiingii akili kusema eti hao wamama wote19 kununuliwa na ma - CCM, kuna mchezo viongozi wa CHADEMA wanatuchezea na kutu hadaa wapiga kura, ila ni suala la muda tuu kujua ukweli.
Mbowe ni wa kufukuzwa sasa hafai tenaWewe acha uongo, mlalamikaji ndiye anayetakiwa apeleke lalamiko hilo kwenye hivyo vyombo vya uchunguzi sio kuwasemea.
Wabunge wale wametamka wana baraka zote za Chadema na Mwenyekiti wa chama.
Chukueni hatua kwa Mh.Freeman Aikael Mbowe kama mnazo guts hizo
Mahakamaccm hainaga haki kwa wapinzani mpaka wakiwa na masilahi yao binafsiKesi ya mchawi anapewa Shetani, unafikiri kuna kitu hapo
Wapuuzi hao, Chadema ni Saccoss au Chama.Kuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.
Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.
Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!
Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Mkuu umeanza lini kuwa amini polisi sijui DPP au umechanganyikiwaKuna jinai kubwa imetendeka.

Acha unafiki,fanya kazi za maendeleo yako ufukuze umasikini wako maana ninyi mnaolalamika kila siku hapa kuhusu siasa ni masikini mnawaya waya..tunapaswa kufanya kazi za kiuchumi na ya watu yaache,na kama wewe ni mwanaume uliye andika hapa pole sana.Kuna jinai kubwa imetendeka.