DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

Ww nimekuzoea hata juzi wakati nakwambia ulisema haiwezekani si umeona Sasa?

Na hata wakivuliwa uanachama watakuwa wabunge wa mahakamani so chadema haitopata faida yoyote zaid ya kuzidi kufa kabisa

Niliweka vizuri sana kwamba haiwezekani, na hata ikitokea wakaenda wasitegemee support yetu.
 
Kamanda nenda polisi au takukuru ukafungue jarada, kusemea huku kwenye mitandao itaonekana ni porojo tu
 
Behaviorist you are now crossing the red-line for posting this figurative cartoon which represents bashing, trolling and provocative, you may eventually pay the price for entertaining these kind of unacceptable ridicule. Your ID is on eavedrop track to account the assault
For sure you neither stand for intelligence nor justice. You're just a roaming fool and an insane nincompoop! That's to say the least.
 
Kuna jinai kubwa imetendeka.

Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.

Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.

Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!

Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Kwani ww unawaamini CDM kwa kipi?Unadhani Kama mtu alikumywa konyagi akalewa akaanguka usiku akasema amevamiwa atashindwa kuiandikia tume na kuwapa listi ya wabunge na baadae akakana?lakini Twende kwenye uhalisia we unadhani kina Mdee nivichaa kusema wamepata baraka kutoka kwa uongozi wa juu,
 
Chadema wasanii wasanii

Ngoma hii wameibariki undergroundly!

Kwanini Tangu Uchaguzi Mkuu umeisha hawajakutana na kutoa msimamo rasmi wa chama kama wataridhia Wabunge wa viti maalum au laaa!

Mwanasiasa wa mwisho mzalendo Tanzania alizaliwa 1922, zaid ya hapo ni Usanii mtupu
Inawezekana, lakini hao wote 19 unaamini hawajui taratibu za kupata wabunge wa viti maalum?mdee ni mwanasheria alikubali vipi kwenda kuapa akijua taratibu hazijafuatwa ndani ya chama chake?
 
Kwani ww unawaamini CDM kwa kipi?Unadhani Kama mtu alikumywa konyagi akalewa akaanguka usiku akasema amevamiwa atashindwa kuiandikia tume na kuwapa listi ya wabunge na baadae akakana?lakini Twende kwenye uhalisia we unadhani kina Mdee nivichaa kusema wamepata baraka kutoka kwa uongozi wa juu,
Hao Kina mdee wanakubali vipi kwenda kuapa Bila kujaza form na kupitishwa na vikao Halali vya vyama vyao? Unataka kuniambia mdee hajui taratibu za kuwapata wabunge wa viti maalum? Hata Kama mbowe alimruhusu yeye anakubalije wakati taratibu hazijafuatwa?
 
Hata utaratibu uliotumika kumtoa Nusrat jela umeidhalilisha Mahakama na Sheria imevunjwa
 
For sure you neither stand for intelligence nor justice. You're just a roaming fool and an insane nincompoop! That's to say the least.
Mkuu,

Bungua, nowhere you were mentioned by my post so do not trespass the room with my access...

Do you possess multi fake IDs as covert to insult other members with different opinion that doesn't taste in your favor? You are politely advised to respond with dignity rather than bluffing you are a great thinker. Otherwise, the post was addressed to Behaviorist, but you have just taken a hitch like an inebriate fleeing corporal punishment. Mind you respect is two way traffic so do not act like an intoxicated person who can't voluntarily deduce his constructive reasoning for being mentally disrupted.
 
Jinai polisi wanaiona kabla ya kwenda kushitaki .

Unadhani hio ingefanyika kwa upande wa CDM wangesubiri mpaka CCM wakashitaki??
Lakini mh.Spika alisema majina yote yalikuwa na baraka za Chama. Nani alaumiwe?

MAGUFULI4LIFE.
 
Behaviorist you are now crossing the red-line for posting this figurative cartoon which represents bashing, trolling and provocative, you may eventually pay the price for entertaining these kind of unacceptable ridicule. Your ID is on eavedrop track to account the assault
Welcome to the republic of fear, phobia and threats. I really do not envy you guys for living your precious life in what is effectively a police state. Each of you dishes threats to another, then at the end of the day, comes the government to threaten and scare you all!
Who does not know that the 5th term president is everything; the law, the judge, the guillotine and the executioner? How many laws, by-laws, traditions of decency up to the constitution itself he has not spared? If he does not respect laws, why should anyone else do? You should issue threats to him first...... if you have balls!
If you can't, please let those who fight for, and value their freedom do whatever, and by any means necessary, to name and shame dictatorship. Some of us do not give a rat's ass to the draconian, anti-freedom 'so-called' press regulations.
 
Kuna jinai kubwa imetendeka.

Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mhusika wa kupeleka majina na mjazaji wa Fomu za kisheria.

Katiba imevunjwa, sheria zimevunjwa. Orodha haikupelekwa. Orodha aliyopewa Spika, kuiamini na kuwaapisha jana ameitoa wapi? Anzeni na Spika. Kama ameipata Orodha kutokea NEC, NEC wamepewa na nani? Nendeni na NEC. Halafu, wote 19 walioapishwa jana wahojiwe na waeleze, pamoja na mambo mengine, waliambiwa na nani kuwa wameteuliwa kuwa wabunge. Waseme waliambiwa kwa njia gani.

Hapa kuna mambo ya pesa za umma. Kuna mambo ya katiba na sheria. Hapa kuna mambo ya jinai kubwa. DPP, TAKUKURU na Polisi, wasaidieni watanzania. Lindeni pesa zao, katiba yao na sheria zao. Mtaheshimiwa na kuthaminiwa. Wakati ni huu!

Mwaka 2020 kulikuwa na uchafuzi mkuu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Why muumizwe na kutokuwepo kwa upinzani bungeni Hali ndoto yenu imetia ya upinzani kutokuwepo bungeni
 
Mkuu,

Bungua, nowhere you were mentioned by my post so do not trespass the room with my access...

Do you possess multi fake IDs as covert to insult other members with different opinion that doesn't taste in your favor? You are politely advised to respond with dignity rather than bluffing you are a great thinker. Otherwise, the post was addressed to Behaviorist, but you have just taken a hitch like an inebriate fleeing corporal punishment. Mind you respect is two way traffic so do not act like an intoxicated person who can't voluntarily deduce his constructive reasoning for being mentally disrupted.
Who are you and who allowed you to intimidate people here in jf? Only fools behave likewise. Leave such a behaviour and nobody will attack you.
 
Back
Top Bottom