Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni jinai kwelikweli, lakini kwakuwa imefanywa na malaika wa Mungu, sina hakika hata CHADEMA wakienda mahakamani kama watabadili kitu! Nikikumbuka kilichofanyika kwa wale wabunge 8 wa CUF na wale wabunge 10 wa CHADEMA, I have lost my Credibility upon these organs!
Kabisa, kama Nduga aliweza kumuita Cecil Mwambe ambaye alijiuzulu ubunge kwa tiketi ya cdm kisha kujinga na ccm, halafu baada ya muda akarudishwa bungeni kwa tiketi ya cdm, hapo utasema kuna sheria zozote zinafuatwa. Sasa hivi rais ndio kipo cha utekelezaji wa sheria ndani ya nchi hii. Kwa sasa rais ndio amegeuka katiba na sheria. Unaweza kufanya chochote na kuvunja sheria yoyote, ili mradi iwe inamfurahisha rais. Na watanzania haya tunayaona kwa macho yetu.