DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

Mi nasubili hiyo ijumaa kikao Cha kamati kuu,kitasemaje kuhusu hili sakata,maana leo,Katibu mnyika,amekana hakuna kikao kilichobariki Hawa 19,kwenda.
Yes hakuna kikao kilichobariki majina haya kwenda yuko sahihi

Coz majina ya wanawake wao hayapo kwenye list
 
Tanzania is now 100% a vurugu vurugu republic hakuna sheria tena mkuu na kama ipo inatumika kwa wanyonge tu
 
Who cares?
 
Wamefikia hatua ya kughushi nyaraka ili wapatikane Wabunge wa Upinzani kwa dirisha LA viti maalum kusudi wahalalishe haramu.Bunge letu linanajisiwa mchana kweupeee!
Tunataka hatua madhubuti zichukuliwe kwa wote waliohusika na Ufisadi huu.
 
Nakubaliana na mtoa hoja 100%. Mambo kama haya yakiruhusia na kuendelea na kuhalalishwa ndani ya nchi, taifa hili huko tuendako litakuwa taifa lisilokuwa na miiko na maadili. Ni vizuri kuheshimu taratibu tulizojiwekea. Sheria na katiba na busara zitumike kulinda heshima ya taifa letu.
 
Huu ni uhuni organized na papaa pedeshee
 
Nashauri chama kiwavue uongozi wote na Bawacha nafasi napendekeza akaimu mama Suzana Kiwanga au Catherine Ruge
 
Mnyika anazo fomu alizopewa na NEC na kulingana na katiba ya chama chao hakuna kikao kilichofanyika kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum. Ndiyo kusema kulikuwa na njama ya kukwepa vikao rasmi. Hao wabunge wanaweza baadaye kuja kuwa mashahidi wa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuvinja katiba.
 
Walikaa vikao 3, na majina yaliteuliwa ingawa sio majina hayo yaliopelekwa hapo ndio shida ilipo
 
Mbowe kachukua bilion 3 toka CCM yupo home anawachora watu huku akibuni mbinu za kuwahadaa watanzania lakini kachelewa
 
Mbowe ni wa kufukuzwa sasa hafai tena
 
hakuna chochote unachoweza kusema kitamake sense kwenye hio siituation, in short chama kimekufa na hakuna atakaeanza kufuatilia skendo ya kipuuzi kama hii, unatoa wap mamlaka ya kuita polisi wakati walioapishwa ni watu wana akili zao
 
A
Wapuuzi hao, Chadema ni Saccoss au Chama.
 
Mkuu umeanza lini kuwa amini polisi sijui DPP au umechanganyikiwa
 
Acha unafiki,fanya kazi za maendeleo yako ufukuze umasikini wako maana ninyi mnaolalamika kila siku hapa kuhusu siasa ni masikini mnawaya waya..tunapaswa kufanya kazi za kiuchumi na ya watu yaache,na kama wewe ni mwanaume uliye andika hapa pole sana.
Unaowaita wapinzani nchi hii wote ni njaa tu wanacho taka ni mamlaka ili waishi,ndo mana unaonaga hawaeleweki,walichosema awali kimepata Rais mchapa kazi anavifanyia kazi kwa weredi lakini bado wanalalamika tu,huoni kwamba hao ni wasanii na wakiongea maneno mengi kwenye media ndo mtaji wao kwa wapiga kura,this time wamepigwa chini then wanaume wamebaki wakiwaonea wivu wanawake kwenda kupata mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…