Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Kama mtu kashaondolewa CCM na hana chama anachokiona kinamfaa na hana resources za kuanzisha chama chake, na anataka kuwania urais, aruhusiwe kugombea kama mgombea binafsi.

That is fair and square.

Kumkatalia hilo ni kumnyima haki zake za kikatiba.
 
Membe hana nguvu hizo. Kazi aliyoifanya ndio anataka aitumie kumbeba

What does he even stand for?

Huyo lengo lake ni kuivuruga tu CCM from within.

Wenyewe wamemfukuza.

Aende kwingine akagombee...
 
Leo membe amekuwa mtu wa kuvuruga chama? Nyani ngabu siku hizi umekuwa si mtu wa hoja unataka kufurahisha na kuuzi kila upande ili uonekane upo neutral. Kwa hii reply yako siamini kama ndo wewe uliyepandisha Uzi unahoji " hivi maamuzi ya kufukuzwa membe yanatofauti na kufukuzwa kwa zitto na mkumbo kule chadema? Contents za ule Uzi na hii reply nabaki nacheka tu kuna watu ni zaidi ya wanafiki.
 
Kama mtu kashaondolewa CCM na hana chama anachokiona kinamfaa na hana resources za kuanzisha chama chake, na anataka kuwania urais, aruhusiwe kugombea kama mgombea binafsi.

That is fair and square.

Kumkatalia hilo ni kumnyima haki zake za kikatiba.

Msimamo wangu kuhusu mgombea binafsi haujabadilika.

Ninataka rukhsa hiyo [ya wagombea binafsi] iwepo. Ni msimamo ambao nimekuwa nao toka enzi za Mtikila.

Na hii inaweza kuwa ni fursa nzuri sana kwa Membe kufungua kesi ya kikatiba mahakamani kudai haki ya uwepo wa wagombea binafsi. Regardless of the odds.

Akifanya hivyo nitamuunga mkono kwa nguvu zangu zote.

Pia, at least akifanya hivyo, atakuwa anasimamia cause ya msingi ya kidemokrasia.

Sasa hivi zaidi ya opposition yake kwa Magufuli, sijui hata anachokisimamia.

But question is, does he even believe in independent candidates?

Or he believes it now after getting drummed out of CCM?
 
Kesi ya Mtikila ndiyo ilitoa utofauti uliopo kisheria kati ya Independent Candidate na Private Candidate. Mtikila alipeleka madai kama Private Candidate lakini Amicus Curiae akaishauri mahakama kwamba neno sahihi kisheria ni Independent Candidate.
 

Your opinion of me is none of my business and most importantly, it’s not my reality.

Happy Monday:
 
Tulijua tu. Ni mochezo ya usalama kutuhadaa wananchi. Wanataka kuua vyama kisha kumweka Membe kama kanyaboya la kudanganyia kuwa kuna upinzani.

Kwanini wasimwambie Tundu Lissu wakutane naye uwanjani?

Kwanini viongozi wa ngazi za kijiji, mitaa, vitongoji hawakukutana uwanjani?

Membe rudi zako CCM mkapambane huko huko.
 
atarudije na ameshafukuzwa? akiomba samahani, ndiyo ameisha kabisa kama hao wengine eti wamemsamehe, mara miezi 18!
 
Membe is questionable on so many levels.

For a Johns Hopskins graduate, he is underwhelming.

I have people in my immediate family who are Johns Hopkins graduates, when you sit with them, they don't even need to tell you that, you sense it yourself.

So I am not especially wowed by him personally.

Although I do like to see someone challenge the status quo.

I am interested in systemic changes more than anything.

If Membe does not stand for private candidacy now, he will exhibit a fundamental flaw in his bonafides as a true reformer.
 
Kesi ya Mtikila ndiyo ilitoa utofauti uliopo kisheria kati ya Independent Candidate na Private Candidate. Mtikila alipeleka madai kama Private Candidate lakini Amicus Curiae akaishauri mahakama kwamba neno sahihi kisheria ni Independent Candidate.
Nimekuuliza tofauti ya Independent Candidate na Private Candidate, hujanijibu.

Tunaomba source tujifunze.

Mahakama ikiamua kwamba shirika ni mtu, katika muktadha wa sheria, hilo halimaanishi kwamba shirika ni mtu,
 
Member mnampigia debe bure, aibu ccm ilyopata kwa lowassa hawawezi kuruhusu ijirudie , ndiyo sababu wakatunga sheria huwezi kugombea urais kama huna miaka milwili kwenye chama hicho. Member hana miaka miwili hadi tarehe ya uchaguzi pale ACT siku ya uchaguzi. Sheria nyingine huwezi kugombea urais kama hujaishi miaka miwili mfululizo hapa nchini hadi siku ya uchaguzi. Hiyo sheria ni kumzuia Tundu Lissu . Leteni majina mengine ya wagombea yajadiliwe ,hao wawili sifa zimetungwa kuwazhuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni urais ndani ya CCM yenyewe na siyo nje ya CCM,na kama siyo hivyo siwangemuacha agombee wakutane naye kwenye kura za maoni ndani ya CCM hiyohiyo?.
 
The word consistence does not exist in the dictionary of Africans!
How do you blame the other guy then?!...The so called the founders of the CCM had opportunity times and times again to change the situation but they didn't,cause it was viable to them.. Now let them taste their own medicine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…