Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kama mtu kashaondolewa CCM na hana chama anachokiona kinamfaa na hana resources za kuanzisha chama chake, na anataka kuwania urais, aruhusiwe kugombea kama mgombea binafsi.Sijamlazimisha aende chama kingine.
Hiyo ni option tu aliyonayo.
Pia, ana option ya kubaki bila chama, kama nilivyo mimi.
Option zilizopo ni kadhaa. Siyo lazima awe CCM.
Na kama anaona ni lazima awe CCM, basi ni akubaliane na taratibu, tamaduni za chama, na kadhalika.
Kulazimisha awepo tu CCM kana kwamba hakuna kwingineko anakoweza kwenda ni wehu.
That is fair and square.
Kumkatalia hilo ni kumnyima haki zake za kikatiba.