wewe unadhani rais kaenda rwanda kutembea tu. Hapana kaenda kupata dozi ya kupambana na mungu watu na bado wakubwa zaidi watapukutika.wewe subiri.
Hizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.
Nasubir wapinzan waje waendelee kusema kwamba mafisad yanayotumbuliwa ni vipele...nasubir na Dr dau aitwe kipele/kidagaa tu kwenye ufisadi
Wawapokonye mali zao hapo itakuwa safi zaidi...lakin kumfunga mtu miaka mitatu kisha....
Nyumba ninuwamuzi wa balaza la MAwaziri -SumayeKama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Source: MukichwaSource Please!
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Tunamshukuru Mh Rais kwa lipi? Kama mitandao isinge weka wazi haya mambo system yote ilikuwa imesha mlinda. Na ungekuta jamaa sasa ni balozi akiendelea kuula
Magufuli asisahau na ufisadi uliofanyika wizara ya ujenzi kipindi yeye ni waziri.Atafikiwa tu wanamlia timing
Lazima afikiwe mzee wa kuzungusha kiuno
alidanganywa hivyo ili asitoroke nchini.Jamani huyu si tuliambiwa atakuwa balozi, kumbe yamekuwa hayo tena, mweeeeeeee
Ingawa na Mimi ni pro Magufuli lakini sahihisha, SUMATRA hahusiki na manunuzi ya meli wala procurement za serikali.Nyumba ninuwamuzi wa balaza la MAwaziri -Sumaye
MV DSM - procurement zote hufanywa na taasisi husika, Sumatra kawaulize.
Meli ya Samaki - weakness na leakage za sheria zenu ndo zilisababisha hasara kwa sababu meli ile iliingia sehemu ya Tanzania. Kutokana na lile tulifunguka na kuanza jitihada za kujihami zaidi.
MOTOCHINI bwana ako alimlilia Dr.Dau asiguswe.
Kweli mkuu magu alikuwemo kwenye awamu ya NNE enzi ile ya shamba LA bibi na yeye ajisafishe kuna tuhuma nyingi sanaKama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Magufuli alisema serikali yake hiyo ccm umeandika wewe.Sawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Imani yangu inanituma kwamba kinga ya Kikwete kutoshtakiwa itaondolewa na bunge ndani ya miaka miwili ya kwanza ya JPM.Kinga inaweza kuondolewa na bunge tukufu kama kuna tuhuma zenye mashiko na kama kuna utashi wa kufanya hivyo
Mkuu, hata akina Ritz na AbasMzeEgyptian ni makada wenzako, lakini wanapinga balozi kutuhumiwa. Usiwasingizie wapinzaniNasubir wapinzan waje waendelee kusema kwamba mafisad yanayotumbuliwa ni vipele...nasubir na Dr dau aitwe kipele/kidagaa tu kwenye ufisadi
Mkuu kwani katiba msaafu kama si Leo kesho tu kama wamefanya ulafi takukuru itawahoji tuHizo ngoma zina kinga ya maisha ya kikatiba ya kutoshtakiwa wala kuhojiwa popote na yeyote ndani ya Jamhuri. La muhimu kwa sasa Rais apambane na mafisadi kwa nguvu zote regardless yeye alifanya nini enzi hizo.
Ni kweli,atapata hukumu ya kufagia Amana Hospital.Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..
Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...
NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.