Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

Mkuu unaweza kunisaidia kujua ni kwanini Antony Dialo alipokuwa akilalamika Kutumika na Kudhulumiwa Pesa zake hadi leo akasema amemuachia Mwenyezi Mungu na akawa anacheka?...
sasa unamuuliza nani? Majibu utayapata Lumumba FC
 


Fisadi tu wanampamba mama irudi kuiba mijitu mingine aiwezi ishi bila ya hela za serikali na CCM. Biashara zilifungwa sasa hizo ajira ziliongezeka vipi kwa mujibu wa NBS.

Watu wafunge viwanda halafu kila mwaka ajira karibu laki saba zizalishwe, uchimi gani.





Katika miaka ya Magufuli sector ya uzalishaji (viwanda) na services sector ndio ajira zimeongezeka source ya hizo data huwa ni registered number of employees paying PAYE that is what IMF and world bank expect to get your data from.

Hivi kama watu walikuwa wanaondoa mitaji ya biashara hizo ajira zilitoka wapi IMF would want to verify hizo data ndio maana PAYE is the only credible source.

Yaani mtu anaweza tunga uongo inakuwa raisi kuwa na cascading effect Tanzania kirahisi sana; it’s appalling in this age of information to have a such an easily gullible society.

Next waulize hizo data za watu kufunga biashara na Magufuli kuharibu uchumi zipo wapi zaidi ya upuuzi tu kwenye vichwa vyao.
 
Hao wazee ni wabinafsi tu,

Ni aina ya watu ambao wamezoea kujinufaisha tu.
 
Daah kumbe ccm ilipasuka vipande vipande kiasi hiki?
Anathubutu kusema JPM alikuwa na file mirembe!
Na sasa watu wanafuraha...hahaha
Tulipokuwa tukiyaandika haya tulikuwa tukinangwa kishenzi na lmb7 na mataga...leo kila kitu hadharani
 
Diallo anawatoa nyoka wote pangoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona Diallo anataka na yeye atoke kijanja kipindi hiki cha mzee mpili
 
Naona kwa sasa anaweza kuioiga jeki Sahara media group iwe kama Azam
 
Wakati mwingine mimi huwa najiuliza inakuwa vipi mtu afufue reli ya Arusha to Moshi, Tanga to Dar, Aanzishe miradi mikubwa ya ujenzi wa reli, bwawa la umeme, ujenzi wa madaraja, ujenzi wa meli na vivuko ujenzi wa stendi na masoko kila mkoa, awaachie machinga uhuru wa kufanya biashara, ahamishie serikali Dodoma kwa ajii ya kucreate opportunity mpya za kibiashara halafu leo linaibuka kundi linadai eti ajiri zilikuwa hakuna.

Kwa hali ndio maana wa Afrika tutaendelea kudharaulika duniani kote, yaani hatupendi kujiamini na kujikubali, akitokea mtu miongoni mwetu anayetaka kutufanya tujiamini na tusonge mbele sisi tunamuona kama ni kichaa tunasahau hata huko ulaya maendeleo hayakuja kwa kubembelezana.
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.

Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na wataalamu kama ilivyofanyika nchini Kenya.
 
Diallo amekuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu lakini hana legacy yoyote aliyowaachia watanzania kwenye utumishi wake.
Ni kweli, ila alikuwa hahitaji legacy ya mauaji na wizi wa kura. Kama ni madaraja, barabara nk hata Kaburu Pieter Botha wa Afrika kusini alijenga, mbona tulikuwa tunawaunga mkono akina Mandela walipokuwa wanamsumbua mtu aliyekuwa anaijenga Afrika kusini?
 
Nimeamini kuwa huyu mwendazake watu walimchukia kupita shetani. Alitesa watu , aliua watu, alinyanyasa watu, nakubaliana na mh Diallo kuwa alikuwa na file milembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…