Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRUE!Tuna mashujaa wawili wa wakati huu katika nyanja mbili tofauti...!
SOKA; Mzee MPILI
SIASA: Mzee DIALLO.
sasa unamuuliza nani? Majibu utayapata Lumumba FCMkuu unaweza kunisaidia kujua ni kwanini Antony Dialo alipokuwa akilalamika Kutumika na Kudhulumiwa Pesa zake hadi leo akasema amemuachia Mwenyezi Mungu na akawa anacheka?...
Bado anasuasuaAlishawalipa wafanyakazi malimbikizo ya mshahara?
Tulipokuwa tukiyaandika haya tulikuwa tukinangwa kishenzi na lmb7 na mataga...leo kila kitu hadharaniDaah kumbe ccm ilipasuka vipande vipande kiasi hiki?
Anathubutu kusema JPM alikuwa na file mirembe!
Na sasa watu wanafuraha...hahaha
Diallo anawatoa nyoka wote pangoni[emoji23][emoji23][emoji23]Nimefatilia interview ya Diallo, inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii akiishutumu serikali ya JPM, serikali iliyopambana kwa ajili ya wananchi. Naenda kujibu hoja zake kwa niaba ya JPM. Rais ambaye ntampigania mpaka kufa.
1. Kwanza, naomba ujue kuwa kudhamini chama kwenye kampeni hukulazimishwa, wewe kama mwanachama ni wajibu wako. Hivyo usitegemee hela ya wananchi walala hoi, ndio wakulipe pesa eti ulipigana kunusuru chama kushindwa uchaguzi 2015.
2. Eti chama kiwe kinaangalia mtu kabla ya kumuweka kuwania urais,.
Chama chenu ni cha vichaa kwa sababu mlimchagua kichaa. Ina maana hamukuona wengine mpaka mkamuona JPM? Ukweli utabakia kuwa ukweli tu, chama chenu kilikuwa kimeoza. Wananchi tuliwachoka, mlikuwa mafisadi, walafi, wezi, mlikuwa mnanuka. Mkaona mmutumie JPM ili awasafishe maana yeye alikuwa ni msafi.
Mlitegemea JPM atapotoka, na mtamuendesha...ila mligonga mwamba!
Mlitegemea atawasamehe kodi mnazodaiwa ..mabilioni ya pesa...mlitegemea atawaachia mianya muibie chama na serikali.
Eti alikuwa na ulinzi uliotisha? Hivi kwa akili zako na usomi wako ulitegemea JPM atapendwa na mafisadi kama wewe na wanaCCM wenzako? Alijijengea maadui wengi ndani na nje ya nchi kwa ajili ya raslimali za watanzania ambazo nyie kwa miaka mingi mmeshindwa kuzilinda.
Nikukumbushe tu, rais huchaguliwa na Mungu, katika mioyo yenu hamkutegemea JPM awe rais ila Mungu alimleta.
Ntarudi badae kdgo!
Wakati mwingine mimi huwa najiuliza inakuwa vipi mtu afufue reli ya Arusha to Moshi, Tanga to Dar, Aanzishe miradi mikubwa ya ujenzi wa reli, bwawa la umeme, ujenzi wa madaraja, ujenzi wa meli na vivuko ujenzi wa stendi na masoko kila mkoa, awaachie machinga uhuru wa kufanya biashara, ahamishie serikali Dodoma kwa ajii ya kucreate opportunity mpya za kibiashara halafu leo linaibuka kundi linadai eti ajiri zilikuwa hakuna.View attachment 1848066
Fisadi tu wanampamba mama irudi kuiba mijitu mingine aiwezi ishi bila ya hela za serikali na CCM. Biashara zilifungwa sasa hizo ajira ziliongezeka vipi kwa mujibu wa NBS.
Watu wafunge viwanda halafu kila mwaka ajira karibu laki saba zizalishwe, uchimi gani.
View attachment 1848074
Katika miaka ya Magufuli sector ya uzalishaji (viwanda) na services sector ndio ajira zimeongezeka source ya hizo data huwa ni registered number of employees paying PAYE that is what IMF and world bank expect to get your data from.
Hivi kama watu walikuwa wanaondoa mitaji ya biashara hizo ajira zilitoka wapi IMF would want to verify hizo data ndio maana PAYE is the only credible source.
Yaani mtu anaweza tunga uongo inakuwa raisi kuwa na cascading effect Tanzania kirahisi sana; it’s appalling in this age of information to have a such an easily gullible society.
Next waulize hizo data za watu kufunga biashara na Magufuli kuharibu uchumi zipo wapi zaidi ya upuuzi tu kwenye vichwa vyao.
Ni kweli, ila alikuwa hahitaji legacy ya mauaji na wizi wa kura. Kama ni madaraja, barabara nk hata Kaburu Pieter Botha wa Afrika kusini alijenga, mbona tulikuwa tunawaunga mkono akina Mandela walipokuwa wanamsumbua mtu aliyekuwa anaijenga Afrika kusini?Diallo amekuwa mbunge na waziri kwa muda mrefu lakini hana legacy yoyote aliyowaachia watanzania kwenye utumishi wake.
Na hofu ya kuchekwaUkweli wana ujua, sema wengine ni wanafiki