Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

Again, I beg to differ. Siichukulii TISS poa lakini siamini kama ina uwezo wa kuingilia communications za mataifa ya magharibi.

Kama serikali inahitaji kumtumia Lissu ili ijue motives za mataifa ya magharibi dhidi yake, then we have serious problems.

Sidhani kama Lissu alivunja kanuni yeyote ya uchaguzi. We all know kuwa asingeachiwa kama angefanya hivyo.

Naamini vile vile kuwa sio sahihi kumuita mtu ambae mnatofautiana kisiasa nyoka maana wote tunajua kuwa hamna namna tutamruhusu nyoka aliye chumbani kuendelea kuishi. Ni kama vile kumuita mende. Sio vizuri.

Lakini nadhani ni vyema kama tukifunga mjadala kwa kukubaliana kutofautiana.

Amandla...
 
Amekuwa dmo na rmo amefanya mini so far zaidi ya makelele tu
 
Yaani watumishi walivyo ni hivi ukifanya nao kazi kwa kuwaburuza eti ilimradi tu umfurahishe boss kubwa, wao hukwamisha mipango yako yote hatimaye UNAFELI.

Ngoja tuone, huenda ujumbe utamfika
Ndo hivyo mkuu watumishi wa afya wanafanya kazi katika mazingira magumu haujawahi kutokea mtumishi awe anafanya kazi miaka 7 na mshahara ule ule badala ya kumtia moyo wew inaishia kukudhalilisha
 
mkuu umemfagilia hadi rahaaa mwenyewe akisoma atakua anafurai na mashavu yake yale kusema kweli hata mi nimempenda kwa sababu ameanzia chini so kazi anaijua na anajua what is happening kule chini hata rais alisema alipokua naibu katibu mkuu maoni yake mabosi zake walikua wanayakanyagia
 
Umemfuatilia huyo mamam? au unakurupuka tuu ina maana raisi hayupo sahihi na jopo lake la vetting.Huyo mama anapiga sana kazi na hapo alikuwa naibu tuu katibu mkuu.Acheni majungu bwana.
Kwani raisi ndo hakksei mbona amemteua mtu asiejua hata kuapa
 
mkuu alibahatisha alafu akatoboa ha ha ha ha au nasema uongo ndugu zanguuu nileteeeni gwajimaaa
 
Your comment will remain alive forever.stay blessed
 
You have spoken whole, but your observation have been made at the wrong platform.
This is a place where the very right things are not seen correctly, even when solid evidences have been placed for justification . We are in a sorry state, slowly we are progressing towards Facebook members level.
 
sijui kwa nini watanzania walio wengi wanawachukia sana watu makini ktk kuchapa kazi, wewe fuatilia tu utagundua ktk ofisi yako wanao pigwa sana majungu utagundua ndio wachapa kazi hodari. ukionekana tu unamsimamo mkali ktk mambo ya kusimamia basi ujue utaanza kuundiwa jungu na fitina sijui watanzania mmelogwa na nani!!! punguzeni majungu fanyeni kazi hongera Mama Dorithy wewe piga kazi kwa kumtanguliza Mungu mbele usiogope kusemwa wala usiogope kutumbuliwa ilimradi tu umetiza wajibu wako.
lkn pia Mh. Rais na viongozi wengine ktk nafasi mbali mbali walindeni baadhi ya watendaji wano undiwa majungu yasiyo ya kweli
 
Kama suala ni kuweka inventory tuu kwenye excel basi ni bora wanunue laptops au hata tablets ambazo mhusika anaweza kuzibeba na kuingiza data pale anapohitaji. Na excel haitolewi bure.

Amandla...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona TMA wamehamia huku. The good thing is, mara nyingi wanaangukia pia.
 
Dr ngwajima. Mm namuita iron lady, au mwanaume lakini anavaa sketi. Katika utendaji wake hajawahi shindwa. Amekua RMO singida hospitali ya mkoa aliweza kuifanya singida hospital ikawa hospitali ya mfano tanzania kwa kazi za kaizen. Mpaka sasa ukitaka kujifunza KAIZEN sehemu ya mfano ni singida.
Hata sasa naamini wizara zingine zitajifunza kwa wizara ya afya. Namkubali sana huyu mama. Kwa ambao mnamuona hvyo ndio anafanya kazi.
 
Moto wa kifuu huo hamna lolote , Jiwe mwenyewe alianza na mikwala Mara tumbua , Mara bomoabomoa matokeo yake serikali inaendeshwa kwa propaganda uchwara , nchi ya uchumi wa kati wakati haina hata kiwanda cha toothpicks au pini ulungu ( thugtax ) . Uongozi Ni hekima na busara sio mikurupuko .
 
Hii wizara ngumu sana....naomba nitoe mfano mmoja tu kwa leo:
Kuna hii Bima ya Afya ya Jamii CHF, wanachi wameitikia wito wa kuwa na bima hii, ila matumizi yake sasa, familia nzima ya watu watano wanenda wote kutibiwa siku moja(wote "wanaumwa" si wana bima bwana!) wanaonwa na daktari, wanaandikiwa vipimo ila ni mmoja tu mwenye minyoo, na ili kuondoa lawama ya hao ambao hawaumwi kutopewa dawa (wasipopata dawa wanaenda kwa diwani na kusema pale zahanati huduma mbovu) mganga anawapa panadol, nk
Matokeo ya ujinga huu wa watanzania walio wengi ni matumizi makubwa ya raslimali watu na fedha na mfuko huu hautaweza kujiendesha wenyewe...

Ujinga ndio ugonjwa mkubwa miongoni mwetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…