Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Hassan Abbas alikuwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali.
Pamoja na kuteuliwa kuwa Katibu MKuu, ataendelea kushikilia nafasi ya msemaji wa Serikali