Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

Haahaa picha limeanza sasa, ukiangalia kijinga utazani mshkaji wamemdemoti kumbe anakwenda kukaza injini kisawasawa hali si hali.

Kazi kwenu waandishi wa habari za Uchaguzi mtakula ban au kifungo mzee kwa wale wapenda slope ambao hawachunguzagi au kuchuja habari mtaliwa chekundu.

Uchaguzi huu hmm hatari tupu, ngoja tujionee kwa macho.
 
Huyu ndiye aliyesema serikali ilishapeleka milion50 kila kijiji kwa kujenga SGR, ununuzi wa ndege, Flyovers na Stigler's gauge. [emoji23] mwaka 2017 akasema Serikali kuanzia mwezi November itatoa anual increment kwa watumishi wa uma. Tulipoenda kucheki tukakuta imeongezwa Tsh. 2000/= wakati mimi najiuliza kuna wengine waliongezewa Tsh.1650/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah uyu jamaa akiwa anaisifu serikali unaweza sema Marekani imezidiwa na Tanzania kimaisha
 
Back
Top Bottom