Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

Pasco Mayala vipi? unasahaulika tena
Huyu yuko kitengo cha kuabudu na kuimba kwamba " baada ya Magufuli ni Makonda " au " 2020 ni ccm pekee " watu kama hawa wanaotumikishwa hawapewi nafasi .
 
Hivi ni daktari kweli au ni kanjanja
Kichwa hicho mkuu kaulize pale saut mwanza.

Alafu mimi binafsi niliona ile nafasi ya ukurugenzi ilikuwa haimtoshi ni kama alikuwa anapita tu ila muda ulikuwa haujafika.
 
Nadhani atakwenda Pascal Mayalla kama itampendeza mh Rais!
@Pascal Mayalla Vipi umejiandaaje kwa uteuzi huu?Naona hajatangazwa wa kushika nafasi hii ina maana kwamba bado wanajaribu kukushawishi ukubali kujiunga na timu ya sifa.
 
Back
Top Bottom