Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
View attachment 1342449
Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
wivu tu ulitaka wewe ndio uchaguliwe
Kule ataripoti kwa mh Juliana Shonza!
Nadhani atakwenda Pascal Mayalla kama itampendeza mh Rais!Katibu mkuu wizara alikochaguliwa ilikuwa na nani? Je nafasi aliyoiacha imezibwa na nani
Amejidhalilisha sana acha tu azawadiwe alichokuwa anatafuta! Hivi ni daktari kweli au ni kanjanja kama wana CCM wenzake?
Basi kashuka bora kule kuleKule ataripoti kwa mh Juliana Shonza!