Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Sasa atawezaje kumudu Nafasi ya Ukatibu Mkuu..... Awamu Hii ni ya majaribio..!?
Ayaaa!!!Kule ataripoti kwa mh Juliana Shonza!
Roho mbaya haijengi mzeeTumbo ni muhimu sana
Kila mtu anafanya kazi kwajili ya tumbo,mengine ni wivu tu.
Hii hawezi kusema maana Chadema hawana njaa ila ruzuku haionekani. Usihoji utaambiwa umetumwa na CCM.Lakini na Mnyika naye si kapanda gredi, kwahiyo hakuna tatizo hapo.
Duh pole na ban aiseLakini na Mnyika naye si kapanda gredi, kwahiyo hakuna tatizo hapo.
maandalizi ya uchaguzi
Sasa amepanda cheo au ameshuka?
Asante sana mkuu, baadhi ya mods wana wivu wa kike.
Pasco Mayala vipi? unasahaulika tenaView attachment 1342449
Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
Wamesema nafasi ya msemaji wa serikali itakuja jazwa hapo baadae,kwaiyo Mayala ajiandae kufua fua zile suti zake zilizokuwa zimejikunjaPasco Mayala vipi? unasahaulika tena