Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #41
Huyu yuko kitengo cha kuabudu na kuimba kwamba " baada ya Magufuli ni Makonda " au " 2020 ni ccm pekee " watu kama hawa wanaotumikishwa hawapewi nafasi .Pasco Mayala vipi? unasahaulika tena
Hivi akiwa chini ya Juliana atakuwa kapanda au kashuka ?Anastahili. Maana kaweza sana kuitetea serikali katika shida.
Sifa ni kujitoa akili na kujua kusoma na kuandika. Tafuta kadi ya chama
Kichwa hicho mkuu kaulize pale saut mwanza.Hivi ni daktari kweli au ni kanjanja
wivu tu ulitaka wewe ndio uchaguliwe
@Pascal Mayalla Vipi umejiandaaje kwa uteuzi huu?Naona hajatangazwa wa kushika nafasi hii ina maana kwamba bado wanajaribu kukushawishi ukubali kujiunga na timu ya sifa.Nadhani atakwenda Pascal Mayalla kama itampendeza mh Rais!
AmepandaSasa amepanda cheo au ameshuka?
Anastahili. Maana kaweza sana kuitetea serikali katika shida.