Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Hoja zako ni too general. Ndo maana Dr Slaa akakuambia Shut Up Yeriko. Mpaka ukapigwa ban ya wiki. Sasa umeanza kuandika mambo ambayo hayana uhalisia
Hoja zako ni too general. Ndo maana Dr Slaa akakuambia Shut Up Yeriko. Mpaka ukapigwa ban ya wiki. Sasa umeanza kuandika mambo ambayo hayana uhalisia
Kwa kifupi tunataka majina ya watu walioingiziwa pesa za escrow kataika akaunti zao za stanbic
Yeriko CV yako ulishaidekia matapishi. Ngoja nikwambie ni heri mtu akuibie kila unachomiliki lakini asiathiri hadhi au taswira yako. Yeriko wewe umebaki jina tu. Huna tena hadhi ya mtu yoyote kukuchukulia serious. Poor you.Makufuli atasifika kwa uchakachuaji wa ujenzi wa barabara, zote anazojenga makufuli huwa zinaogopa mvua barabara zikinyeshewa mvua tu hasa zile za masika, masika ikiisha kila road ya makufuli inabaki na mashimo mashimo. Ajifunze barabara walizosimamia wenzake mf nyerere road nk miaka mingi sasa aijawai kuwa na mashimo kilahisilahis kama barabara anazojenga huyu jamaa, naamini akibahatika kuwa rais hata tufaa hata kidogo(anyimwe tu) hafai
usitufanye akili zetu kama njiwa. magufuli hakuuza yeye nyumba za serikali. ilikua uamuzi wa serikali yeye alisimamia utekelezaji tu. wa kulaumiwa ni aliyekua rais na waziri wake mkuu..kwa magufuli ufisadi mnatafuta kwa darubini kwa mabwana zenu tunaona ufisadi kwa macho..hiyo ndio hali halisi.Hao wasio uona ubaya wa Maghufuli watakuwa wamevaa miwani ya mbao.
1. Wawe waangazi zaidi na washughulishe vichwa vyao kufahamu magnitude ya uuzwaji wa nyumba za serikali. (a) Kuna uhamishaji wa raslimali za umma kutoka mikononi mwa (serikali) na kwenda ktk miliki za watu fulani wachache sana na labda ndugu na jamaa za watoa maamuzi nyumba kuuzwa. (b) Hapakuwepo kufikiria thamani ya Ardhi pale nyumba ziliko (Kama Osterbay, Ocean Road, Mikocheni, Upanga, nk) Huko kwa maisha yote ardhi ya hapo itakuwa ikipanda kwa thamani kubwa sana na kamwe umma hautakaa upate hapo ardhi tena. Uwezo wa kujengea watumishi nyumba kwa haraka na kwa maeneo karibu na kazi ili kwamba watumishi hata bila kutumia magari wafike sehemu zao za kazi bila muda kuharibika. (c) Kuzingatia kuwa kuna watumishi waliishi katika hizo nyumba miaka nenda rudi wakizitunza sasa wamestaafu na aidha hawana nyumba au wana nyumba hafifu.
2. Ni viwango na vyanzo vya pesa ya kujenga barabara. Wamejenga barabara kwa viwango ambavyo barabara itatakiwa kujengwa baada ya muda mfupi. Wakati wanajenga wamekopa kutoka vyanzo vingi kwa ruksa ya Uwezo wa kukopesheka. Huo Uwezo kwa kukopa sana wameupunguza na wakijua kuwa muda wao hawapo barabara zitakuwa zimeharibika sana na zinahitaji pesa nyingi kukarabatiwa pesa ambazo tutakuwa hatuna kwa kuwa tutakuwa tunalipa madeni na tumemaliza Uwezo wa kukopa tena. Tutashindwa kuzikarabati na yatakuwa ni mashimo ndani ya Barabara za lami ambayo ni mabaya zaidi kwa mashimo ndani ya barabara za udongo. (b) Kwa nini wahandisi wa barabara wana utajiri mkubwa kuliko vipato vyao kwa mbali kuna siri gani kwenye barabara?
Nikiangalia hayo, nikachanganya na ubabe wa huyu Makufuli wenu, nashindwa kuona usafi wake. Angekuwa hakusoma tungesema elimu inamponza. Sasa kwa nini mambo hayafanani na elimu yake? Bila shaka yanayofanyika yanafanyika kwa makusudi kwa dhamira isiyo safi kwa sisi jamii. Maghufuri ni mbovu kama wabovu wengine. Amekiachia kizazi chetu madhara makubwa sana.
bw Yericko,
ingekuwa vizuri zaid ukitumia nafasi yako kutuleza kwanini tuiamini chadema wakati mlituaminisha kwamba LOWASSA ni fisadi na alihusika na RICHMOND alafu leo hii mnatuambia ni msafi na muadilifu??
Kama mmeyakana maneno yenu mchana kweupe, Je mkiingia ikulu SI MTATUSALITI ALFAJIRI NA MAPEMA??
Mwisho naomba niulize LIST OF SHAME NI ILE ILE AU IMEKUWA EDITED???
Toa povu..toa povu...mabadiliko ni lazima..hata mngeweka jiwe na ccm..tunachagua jiwe..haturudi nyuma..najua una maslahi ndani ya ccm..jiandae kisaikolojia ...mtakaangika mwaka huu si mlizoea miteremko wazee wa ma EPA..ESCROW. ..kazi mnayo!
Yerico hebu mjibu huyu jamaa afu ntarudi.
Magufuli huyu huyu alilazimisha kituo cha mafuta cha Mansoor kibomolewe kibabe licha ya ushauri aliopewa na Halmashauri ya jiji la Mwanza. Yeye akasema mimi ndio waziri nimesema. Hatima yake serikali ikashindwa kesi na kulipa fidia zaidi ya shilingi Bilioni 3 na kumpatia tena Mansoor eneo lingine ambalo lilishatengwa kwa shunguli zingine za umma.
Hasara kama hizi zilimpasa kuwa ameshaondolewa ofisini na kuadhibiwa, lakini kwa serikali hii tuliyo nayo bado hapo anapewa sifa.
Twende na lowasa,magufuli sio chaguo la mungu
Wewe mzee sijui bibi usipende KUPOTOSHA kwa ajir ya kuchumia TUMBO... Mnahangaika sana kutafta kashfa kwake lakn hamzipat... TOA USHAIDI WA HAYO UNAYOYASEMA
Sept mosi njoo na maada zako za kubun kama hiz... naona wataanza na wew
Magufuli huyu huyu alilazimisha kituo cha mafuta cha Mansoor kibomolewe kibabe licha ya ushauri aliopewa na Halmashauri ya jiji la Mwanza. Yeye akasema mimi ndio waziri nimesema. Hatima yake serikali ikashindwa kesi na kulipa fidia zaidi ya shilingi Bilioni 3 na kumpatia tena Mansoor eneo lingine ambalo lilishatengwa kwa shunguli zingine za umma.
Hasara kama hizi zilimpasa kuwa ameshaondolewa ofisini na kuadhibiwa, lakini kwa serikali hii tuliyo nayo bado hapo anapewa sifa.
Shikamoo MNAFIKI
MnafikiKama ni uongo lete ukweli wangu