Ninawapongeza CCM kwq kiini macho hichi, mafisadi wako salama chini ya Mwalimu J P Magufuri.
Kutokana na uwelewa mdogo wa watanzania wengi ni rahisi sana kuwateka akili zao kwa kuficha uchafu wa ccm kwa kivuli cha Mwl. J. P. MAGUFULI
Mfumo wa kifisadi ulivyo ndani ya ccm hata kama rais angekuwa MALAIKA hawezi kufanya lolote. huyu mwl John Pombe atatumika tu na mafisadi kama walivyotumika wengine.
MABADILIKO NDIO SULUHU ya nguvu za mafisadi kwa sasa, chagua UKAWA ili kwanza kuvunja mitandao ya kifisadi ya CCM, pili iwe fundisho kuwa tanzania bila CCM inawezekana tatu CCM wapate adabu wajuwe kuwe demokrasia ya kweli ni ustawi wa wananchi na siyo wageni.
CHAGUA UKAWA, WAKATI NI HUU