Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Mbona kila neno unaanza na herufi kubwa? ni bahati mbaya au ndio ujinga wenyewe?Kua Na Akili Nyingi Ni Kua Na Uwezo Wa Kujitambua Na Kujua Udhaifu Ulionao Pamoja Na Pontential Uliyonayo.Kua Na Uelewa Wa Kusoma Alama Za Nyakati Na Kujua Ni Njia Ipi Inafaha Na Ni Nyepesi Kupita Kwa Wakati Uliopo Na Kwa Changamoto Zilizopo.Ili Kutimiza Malengo Yako Uliyojiwekea.
Faida Kubwa Ya Kua Na Akili Nyingi Ni Kufanya Maamuzi Sahihi Kwa Wakati Sahihi Na Kwa Faida Sahihi Ya Walio Wengi.Nadhani Nimeeleweka Mkuu Japo Kwa Kifupi.
Mbona kila neno unaanza na herufi kubwa? ni bahati mbaya au ndio ujinga wenyewe?
Nilimsikia babu akitapatapa kwamba sasa watashinda kiulaini wakati hata mgombea hawana. Wakati ule alisema wakimuweka EL watatangaza ushindi saa 4 ash, leo kawekwa JPM bado anang'ang'ana eti watashinda! Akili za bavicha hovyo kabisa.
Kwani kanuni za uandishi zinasemaje? Inamaana hujui hata kuitumia simu yako mwenyewe ili uweze kuwasiliana vema kimaandishi?Umeishia Darasa La Ngapi?.Au Umeanza Kutumia Simu Lini?.
Hii Ni "Input Method Settings" Hata Ww Unaweza Kufanya Kwenye Hicho Kimchina Chako Cha Techno.
Husipoelewa Hapo Basi Ujinga Wako Utakua Umepitiliza Sana.Na Kwa Heshima Yako Itabidi Tukutoa Kwenye Ujinga Wa Sasa Na Upande Cheo Uwe Mpumbavu Kwa Heshima Na Hadhi Ya Upumbavu Unao Miliki
Magufuli anafaa. Kiongozi mzur ni yule anayetengeneza timu nzur imsaidie. Kwa jinsi yey alivyo kinachotakiwa ni yeye kuja kuunda timu nzuri tu basi.
Eti kujuana. Magufuli ni mmoja kati ya mawaziri wawili waliokuwa wanajulikana na kukubalika zaidi kwa wananchi wa kawaida - wapiga kura. Mwingine ni mwakyembe.
Magufuli hawezi kushinda, nilisema humu... CCM furaha yao imeishia pale DODOMA jana... hali ni ngumu CCM kushinda, Lowassa ndio ilikuwa tegemeo lao, sasa ni Dr. Slaa UKAWA TU... watu siku hizi wanachagua mtu sio chama...!!!
Bahati nzuri pia Magufuli anafahamika kwa uropokaji, ubabe, ujivuni na ukosefu wa hekima!!
Wananchi hatuwezi kurudia kumpa mtu nchi ambaye hashauriki! Tulifanya makosa ya kumpa nchi mtu dhaifu na asiye na maamuzi!!!
Hakika hatufanyi makosa hayo tena!!!
Hizo Ni Porojo Tu Za Kutaka Kulichafua Ili Jembe.Husichanganye Mabarabara Za Magufuli Na Hizo Zenu Zilizojengwa Na Manispaa.Ebu Tembea Ujionee Jinsi Hili Jembe Lilivyotandaza Mikeka Nchi Nzima.
Magufuli Sio Mwanasisa Ni Mchapakazi.Huwezi Kumfananisha Na Mwanasiasa Yeyote Katika Ukawa Yetu.Huyo Dk.Silaa(Mswati) Tunaepanga Kumsimamisha Kama Mgombe Wetu.Uongozi Tu Wa Jimbo(Padre) Ulimshinda Na Hata Mkewe Wa Ndoa Alishindwa Kuishi Nae.Ataenda Ikulu Akafanye Nini.Ili Aende Akaongeze Mke Mwingine Au ?
Great analysis mkuu. As far as I can recall, upigaji kura NEC ulikuwa one person 3 votes, ama? Yawezekana katika hii stage wajumbe wa NEC waliwapa kura Asha Rose na Amina as 2nd or 3rd choices, ili mradi kuwatupilia mbali Membe na Makamba. (The Lowassas and camp). Ila kura za mkutano mkuu ilikuwa, one person one vote! Kwahiyo uwezekano wa kura zao 'kupungua' idadi maybe due to the above reason.
Tatizo lingine hata husemi we uliona nani anafaa halafu tuwalinganishe. Nani alikuwa hana mapungufu? Mtaje. Au ulikuwa unasubir atajwe yeyote uanze kumshanbulia? Kumbuka, hakukuwa na malaika kati yao. Lakin magufuli was the best.
Rais mzur ni yule anayeweza kuaddress challenges za nchi kwa wakati huo. Kwasasa ni yeye
sio kweli mkuu kipimo wanacho kipia ccm kiwe halali kwao na haramu kwa cdm??
uchaguzi wa serikali za mitaa hutoa picha ya nini kinakwenda kufanyika kwenye uchaguzi mkuu??
upinzani huanzia kwenye ngazi za chini.
kama ilivyo hapo kwenye serikali za mitaa baada ya hapo kwenye majimbo na mwishowe ni kwa raisi.
ukisha ona kwenye serikali za mitaa chama kimeshinda sana tegemea hayohayo hata kwenye majimbo.
na chama kikiwa na wabunge wengi basi tegemea na raisi kwa asilimia kubwa atatoka huko huko pia