Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Kua Na Akili Nyingi Ni Kua Na Uwezo Wa Kujitambua Na Kujua Udhaifu Ulionao Pamoja Na Pontential Uliyonayo.Kua Na Uelewa Wa Kusoma Alama Za Nyakati Na Kujua Ni Njia Ipi Inafaha Na Ni Nyepesi Kupita Kwa Wakati Uliopo Na Kwa Changamoto Zilizopo.Ili Kutimiza Malengo Yako Uliyojiwekea.
Faida Kubwa Ya Kua Na Akili Nyingi Ni Kufanya Maamuzi Sahihi Kwa Wakati Sahihi Na Kwa Faida Sahihi Ya Walio Wengi.Nadhani Nimeeleweka Mkuu Japo Kwa Kifupi.
Mbona kila neno unaanza na herufi kubwa? ni bahati mbaya au ndio ujinga wenyewe?
 
Magufuli arudishe nyumba za serikali alizowapa ndg zake na maha.w.ra wake huku taifa likiingia hasara ya bilion321 mwezi
 
Mbona kila neno unaanza na herufi kubwa? ni bahati mbaya au ndio ujinga wenyewe?

Umeishia Darasa La Ngapi?.Au Umeanza Kutumia Simu Lini?.
Hii Ni "Input Method Settings" Hata Ww Unaweza Kufanya Kwenye Hicho Kimchina Chako Cha Techno.
Husipoelewa Hapo Basi Ujinga Wako Utakua Umepitiliza Sana.Na Kwa Heshima Yako Itabidi Tukutoa Kwenye Ujinga Wa Sasa Na Upande Cheo Uwe Mpumbavu Kwa Heshima Na Hadhi Ya Upumbavu Unao Miliki
 
Nilimsikia babu akitapatapa kwamba sasa watashinda kiulaini wakati hata mgombea hawana. Wakati ule alisema wakimuweka EL watatangaza ushindi saa 4 ash, leo kawekwa JPM bado anang'ang'ana eti watashinda! Akili za bavicha hovyo kabisa.

ww una akili ya kizee na kizembe kufikiria yaan bado unataka ccm ituongoze? hii nch n shida'
 
Umeishia Darasa La Ngapi?.Au Umeanza Kutumia Simu Lini?.
Hii Ni "Input Method Settings" Hata Ww Unaweza Kufanya Kwenye Hicho Kimchina Chako Cha Techno.
Husipoelewa Hapo Basi Ujinga Wako Utakua Umepitiliza Sana.Na Kwa Heshima Yako Itabidi Tukutoa Kwenye Ujinga Wa Sasa Na Upande Cheo Uwe Mpumbavu Kwa Heshima Na Hadhi Ya Upumbavu Unao Miliki
Kwani kanuni za uandishi zinasemaje? Inamaana hujui hata kuitumia simu yako mwenyewe ili uweze kuwasiliana vema kimaandishi?
 
Magufuli wapi na lini aliunda na kufanya kazi na timu? Et aanze leo kuwa team player!. unakielewa unachokisema?

Team ya mafisadi wale wale kina Lowasa, Membe, ritzmoja, chenge, ambao ndio waliolifikisha taifa hapa, leo itakuw team nzuri?

Lowasa hana uwezo wala sifa ya kuwa raisi!.


Magufuli anafaa. Kiongozi mzur ni yule anayetengeneza timu nzur imsaidie. Kwa jinsi yey alivyo kinachotakiwa ni yeye kuja kuunda timu nzuri tu basi.

Eti kujuana. Magufuli ni mmoja kati ya mawaziri wawili waliokuwa wanajulikana na kukubalika zaidi kwa wananchi wa kawaida - wapiga kura. Mwingine ni mwakyembe.
 
Magufuli hawezi kushinda, nilisema humu... CCM furaha yao imeishia pale DODOMA jana... hali ni ngumu CCM kushinda, Lowassa ndio ilikuwa tegemeo lao, sasa ni Dr. Slaa UKAWA TU... watu siku hizi wanachagua mtu sio chama...!!!


Hata Lowasa wasingeshinda kwa kuwa alionekana ana watu kwa sababu walikuwa hawana habari zake sahihi na nayeye akatumia kuwahadaa wakati anafanya mazoeizi peke yake uwanjani. Kimbunga ungekiona kama angelibahatika kucheza mechi na UKaWA. Pengine angejaribu kuweka mpira kwapani!.
 
Bahati nzuri pia Magufuli anafahamika kwa uropokaji, ubabe, ujivuni na ukosefu wa hekima!!

Wananchi hatuwezi kurudia kumpa mtu nchi ambaye hashauriki! Tulifanya makosa ya kumpa nchi mtu dhaifu na asiye na maamuzi!!!

Hakika hatufanyi makosa hayo tena!!!


Hakuna binadamu aliye mkamilifu,wote tuna mapungufu,ni candidate yupi labda aliye msafi ungependa apeperushe bendera ya ccm??
 
Hizo Ni Porojo Tu Za Kutaka Kulichafua Ili Jembe.Husichanganye Mabarabara Za Magufuli Na Hizo Zenu Zilizojengwa Na Manispaa.Ebu Tembea Ujionee Jinsi Hili Jembe Lilivyotandaza Mikeka Nchi Nzima.
Magufuli Sio Mwanasisa Ni Mchapakazi.Huwezi Kumfananisha Na Mwanasiasa Yeyote Katika Ukawa Yetu.Huyo Dk.Silaa(Mswati) Tunaepanga Kumsimamisha Kama Mgombe Wetu.Uongozi Tu Wa Jimbo(Padre) Ulimshinda Na Hata Mkewe Wa Ndoa Alishindwa Kuishi Nae.Ataenda Ikulu Akafanye Nini.Ili Aende Akaongeze Mke Mwingine Au ?

Kama kweli wewe ungekuwa UKAWA usingejibu namna ulivyojibu ila kwa sababu ni CHAMA kwanza basi majibu yako ni sahihi kabisa.

Huo Mkeka aliotandaza alinunua kwa pesa yake ya Ubunge?Kama sisi watanzania ni kodi yetu basi huo ulikuwa wajibu wake maana tumelipia ,pili hata huo mshahara wake ni kdoi zetu hivyo alikuwa anafanya kazi anayolipwa na mlipa kodi.

Haya hiyo quality ya barabara nayo?Mvua moja tu hatuna Barabara.Kaka nenda Njombe uone barabara iliyojengwa nyakati za JKN zikoje miaka nenda rudi zikoje?Ziko sawa na hizi za asilimia kumi kwa Waziri na watumishi wake?Na nyumba za serikali zilizohongwa kwa wanawake wake nazo?Eti msafi,hao anaowananga wanajua BEI yake.Magufuli hana usafi wowote yupo kwa ajili ya kulinda maslahi ya CHAMA CHA MAFISADI.Tunahitaji rais atakaye onekana sura yake na nia yake ya kuondoa rushwa na ufisadi,mpokea rushw ahawezi kuiondoa.

Kama anasema ataonoda RUSHA na UFISADI ,wizara yake ndiyo inayonuka RUSHWA na UFISADI hakuuondoa akiwa WAZIRI laeo akiwa rais ataweza?

Sipendi kudanganywa na sipendi kukudanganya chagua lenu la CCM mmepiga mbovu,hakuna kitu,mliowaacha ambao hawakuingia hata TANO bora kulikuwa na wasafi zaidi na watu ambao wana misimamo.

Sasa huyu unayemtetea alishahonga nyumba ya serikali kwa Nyumba ndogo aka HAWARA leo akiwa rais si atahongo nchi ili apate kwa bibi?
 
Great analysis mkuu. As far as I can recall, upigaji kura NEC ulikuwa one person 3 votes, ama? Yawezekana katika hii stage wajumbe wa NEC waliwapa kura Asha Rose na Amina as 2nd or 3rd choices, ili mradi kuwatupilia mbali Membe na Makamba. (The Lowassas and camp). Ila kura za mkutano mkuu ilikuwa, one person one vote! Kwahiyo uwezekano wa kura zao 'kupungua' idadi maybe due to the above reason.


Still it does not explain kura za Asha kutoka 280 hadi 59,it should have been divided by a factor of 3.so angpata kura 90 au 100 naa.., second, haioneshi uwiano wa nguvu ya Lowassa. Sitaki kuamini Waliompigia kura Candidate aliyekuwa anam-favor Lowassa ni asilimia 10 tu ya mkutano mkuu.That does not make sense.Ukizingatia huyu mgombea ametoa Zanzibar ambako tayari alikuwa ana base kubwa sana yya votes, tena ni mwanamke.

When a male candidate gets 87% of the votes kwenye mkutano usio na wanaume 87% hii ni subject to suspicion. naamini kabisa haya matokeo ya Magufuli ni faked ku-influence opinion of party standing behind him. I will not be suprised, kama Magufuli was not even the first one, or he won by a very small margin, or he never got 50% of the votes to start with.

It's for this reason we need open vote counting. Kama muda wa kuhesabu kura hautoshi, kura zisipigwe. Huu usanii wa kusema kura 2,000 ni nyingi sana kuhesabu , it really got me mad. i felt that my intelligence and that of all Tanzaians was being insulted
 
Unayotakaniseme nani anafaa siyo agenda yangu. Hapa tunamchambua magufuli na matatizo yake ya ki diplomasia. Ninaona mtu aliyejifungia ndani ya sanduku dogo jeusi la giza lenye wigo mfinyu ambaye hawezi kuelewa wala kuhisi nini kiko nje ya hapo alipo. Pole.




Tatizo lingine hata husemi we uliona nani anafaa halafu tuwalinganishe. Nani alikuwa hana mapungufu? Mtaje. Au ulikuwa unasubir atajwe yeyote uanze kumshanbulia? Kumbuka, hakukuwa na malaika kati yao. Lakin magufuli was the best.

Rais mzur ni yule anayeweza kuaddress challenges za nchi kwa wakati huo. Kwasasa ni yeye
 
sio kweli mkuu kipimo wanacho kipia ccm kiwe halali kwao na haramu kwa cdm??
uchaguzi wa serikali za mitaa hutoa picha ya nini kinakwenda kufanyika kwenye uchaguzi mkuu??

upinzani huanzia kwenye ngazi za chini.
kama ilivyo hapo kwenye serikali za mitaa baada ya hapo kwenye majimbo na mwishowe ni kwa raisi.

ukisha ona kwenye serikali za mitaa chama kimeshinda sana tegemea hayohayo hata kwenye majimbo.
na chama kikiwa na wabunge wengi basi tegemea na raisi kwa asilimia kubwa atatoka huko huko pia

Uko sahihi kabisa. You are very very right. But mind, huyu ni Magufuli, a new face in this highest position of governance. Watu waliichoka CCM (chama) na si certain individuals ambao wamejipambanua kuwa wazuri wa kuchapa kazi na kutokuwa na kashifa. Kumbuka hawa ni watu wa vijijini uelewa wao ni mdogo. Mimi Magufuri is the same wine in another bottle. Anatoka kwenye kikapu hicho hicho cha uchafu! Lakini watu wa kijiji chake hawawezi kumnyima kura, mtoto kutoka kijijini kwao anakuja kuwa Rais, tena rais wa nchi na sio TFF etc! Suppose it were you, utamnyima kura!
 
kiukweli nimeridhika na mgombea urais wa ccm kwa sababu moja tu
magufuli ni msimamizi wa sheria taratibu kanuni na sera
tanzania tunazo sheria nyingi sana na sera nzuri sana tunachokosa sisi ni usimamizi
hakuna haja ya kupanga sera na sheria mpya hebu tujaribu kusimamia hizi zilizopo tuone zitatufikisha wapi
 
Kuhusu suala la magufuli yeye yupo safi but kajipotezea wasaa wake kwa kugombea chama chakavu cha mapinduzi(ccm) kwa sasa naweza kusema kwamba kura yangu itabadili maendeleo kwa kuipeleka UKAWA .KAMA MIMI MZALENDO NIWEZE TAMBUA KUWA TZ INA MFUMO WA VYAMA VINGI AU KIMOJA? jiulize tangu 1992 mpka sasa ccm why?
 
Hivi ikija kutokea huyu bwana mkubwa akapenya na kuwa Prezidaa wa hii kaya (japo upo uhakika wa 96% wa kuwa raia namba moja wa nchi) mnadhani anaweza akamuamini nani na kumpa dhamana ya kuongoza iliyokuwa wizara yake?
 

Attachments

  • 1436856333030.jpg
    1436856333030.jpg
    26.2 KB · Views: 114
Mgombea mteule wa urais kwa tiketi ya CCM amesema kuwa atalala mbele na wazembe serikalini ili kuleta maendeleo kwa wananchi kwani maendeleo hayana chama, swali je rushwa nayo maana ni kikwazo katika maendeleo zaidi ya uzembe ataiondoa?

Tutafakari sana.
 
Ulitaka ayazungumze yote pamoja? Nchi haina tatizo moja Kamanda, hiyo rushwa na uzembe ni sehem ndogo sana ambayo imetufikisha hapa tulupo
 
Back
Top Bottom