Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

chagua muadilifu kwa maendeleo ya nchi yako....
 
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS. akili za maiti zimezidi...humu!!!!!! MAGUFULI HATOSHI!!!!!!!

LOWASSA OYEEEEEEEEEEEE
 
Ujio wa Magufuli katika kinyang'anyiro cha Urais unatajwa kuwa ni kazi za Mwenyezi Mungu. Magufuli amekuwa ni mtu anaependwa sana na wananchi kila kona ya nchi hii, si watoto,vijana, akina mama na wazee wote kwa pamoja wanaamini Magufuli ndo kimbilio la mafanikio. Maadili mema, utu, hekima ,busara ni moja ya sifa za kipekee zinazombeba Magufuli.
 

viva dr. Magufuli. Watz tupo nyuma yako, tutakusapoti, tunakupenda na kura za ndiyo tutakupa tr.25.10.2015
 

aaa wapi huyo ni victim wa kudondoshwa kwa vigogo na wala hakuwa kwenye mpango wa CCM wa sasa na wala wa baadae so kapewa mzigo asiouweza manake CCM kusema kweli imechokwa na mambo yake sasa sifikiri kama yeye mmoja anaweza leta anachokisema eti mabadiliko ya kweli coz anaonesha anapingana na sera za chama chake.
 

Tatizo lako umeshazoea kuwa na watu wasiyoweza kusimama mwenyewe. Ndiyo maana mnataka mtu hata kusimama peke yake hawezi anasubiri kusimamiwa? Je? Ataweza kazi? Msiingize issue ya ushabiki na mihemuko ya kisiasa.
 
Nyie ccm mnamdhihaki sana mungu.kikwete mlitoa kauli kama hh leo mmerudi kwa huyu daaah!
 

Mungu unayemtaja hapa ndo yuleyule aliyetuchagulia JK?
 
Hilo ni chaguo la laana ndio maana matukio ya vifo ni mengi sana mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…