Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Rais wetu Magufuli tunakutakia kila raheli katika utendaji wako.
 
Rais mshamba,sio presentable,mropokaji anayeweza hata kutumiana email na mgonjwa ICU,poor english,anakurupuka,hupati kura yangu
 

Kumsifia magufuli ana jenga barabara ni sawa kumsifia house girl analea vyema family wakati fedha watoa wewe
 
Ana viashiria vya udikteta.
Anatoka katika chama chenye ufisadi wa kimtandao.
Anatoka katika chama kilichokataa katiba ta wananchi.
Ana historia ya upendeleo.
Hana upeo na ubunifu kama kiongozi.
Ana hulka ya kukurupuka.
Lugha ni tatizo.
 
Hahahah...pamoja na hizo mbwembwe hamjui Rais wa Libya
 
Achen kusema mfumo huo ni upungufu wa fikilia katka vichwa vyenu ivi uongoz wa mkapa na jk wa2 unaendana? Nakama uko tofaut je unazan uongoz wa magufuri utafanana na wakikwete? Achen fikila za kipumbafu nyie magufuri ndie raia pekee tena msafi
 
Tumia haki yako ya kikatiba ifikapo tarehe 25 Oktoba kwa kupiga kura, kura yako kwa Magufuli ni ushindi wa Tanzania nzima kwa maendeleo endelevu. Huo ni ushauri wangu kwa mtanzania mpenda maendeleo. Ndiyo maana yeye anasema atafanya kazi na watanzania wote na kila mara anasisitiza kuwa atafanya kazi kwa moyo wake wote kuwatumikia watanzania na hatawaangusha.

KURA YAKO NI MUHIMU, MPIGIE KURA NA MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 

Wananchi chagueni Lowassa tu miaka 54 ya Uwizi watosha,CCM NI WEZI DAIMA
 
wananchi wa jijin mbeya walia kwa uchungu wakimtaka lowassa apumzike uongozi kwani yeye sio msaada kwao, hii imedhihirisha wazi pale wananchi walipofuatilia orodha ya marafiki wa lowassa na kukuta wote ni wale wenye vipato vya juu na hawana mazoea ya kukutana na wananchi wa chini kwa ukaribu.
 
Kuichagua ccm ni kulidhalilisha taifa na vizazi vijavyo
 
hapakazi tu hakuna wakushindana na Magufuli....

Sijaona kazi zaidi ya ahadi. Ametoa ahadi nyingi sana na akajumlisha na za JK ambazo hakutekeleza, anaaidi nazo atazitekeleza. Unahitaji kuwa na uelewa mdogo tu kutambua kuwa hizi ahadi hata tungemchagua awe raisi wa maisha hawezi kuzitekeleza.
Mimi naona HAPA AHADI TU na hakuna wa kushindana na Magufuli kwa ahadi....!!
 
Wananchi wengi katika maeneo mbalimbali hapa nchini wamekuwa wakimtaja john POmbe MAgufuli kuwa mgombea ambaye kihistoria ni kama MWalimu nyerere,twende na MAgufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…