Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

hakuna kisasi mkuu, labda utuambie kisasi ni kutunga mtihani standard kwa level yao.. au labda wanatumia mitaala tofauti...lakini kilicho na ukweli ni kuwa elimu yetu ni mbovu sana. Huwez amini nilikuwa wilaya ya Katesh huko Manyara, nimekutana na wanafunz wako form 2 hawajui hata kusoma kwa ufasaha, na kusoma kwenyewe ni kwa kiswahili, je English? unakaa chini na kujiuliza huyu anaenda wapi?kafikaje level hii? katika uchunguzi mdogo nilioufanya, wanafunzi wa hizi shule za kata baadhi yao wanaenda secondary kwa vi-memo vya madiwani na mwenyekiti wa chama (CCM) mwalimu mkuu/afisa elimu anaambiwa hawa waende shule kwani shule tulijenga kwa ajili yao...IMAGINE....mtu ni bonzooo lakin secondary anakwenda.
haya tujiulize ya STD 7, si walishusha wastani wa kufaulu to 70 ili watoto waende secondary? sasa kweli katika total marks za 250 mpaka 70 (28%) kweli halafu unasema amefaulu, hivi mnategemea nini form 4? MIRACLE? au mwataka kuingia kwa maajabu ya dunia?tena secondary wanafundikwa kwa English na shule zisizo na walimu na vitendea kazi vya kutosha...real wafaulu??? we real deserve haya matokeo ndugu zangu..
Nashukuru kwa wewe kuweweka nyama za kutosha kamanda, ndio maana nami naungana na wewe kuwa hao hawajui kusoma kwasababu walimu wao pamoja na wanafunzi hawana vitendea kazi wala motisha, so hata ufundishaji unakua wa kukomoana
 
Huyu ni mtu hatari sana kama anadhani anweza kuchezea akili za Watanzania, nilidhani angeongelea hata madai ya Walimu kulipwa stahili zao na motisha ni moja ya sababu, kwa akili ya Pasco ambayo imezungukwa na ujanjaujanja anadhani James Mbatia ni mpuuzi.

Pasco kwa hili hap JF humpati mtu yeyote makini kukuunga mkono mawazo yako yaliokaa kiujanjaujanja, Haki Elimu kila kukicha kwenye TV zote wamesambaza matangazo ya kukosoa namna watoto wetu wanavyoandaliwa lakini huko kote wewe huoni ila umemuona Ndalichako?

Huu ni msiba mwingine kwa Tasnia ya habari si tu kwa Wanafunzi walioferi, kama mwandishi mwenye Taaluma ya habari anakuja na hoja nyepesi na mfu kama hizi basi Taifa lina msiba mzito kila sekta.
Mkuu Matola, binadamu wengi ni wagumu kuona far distance, wengi wanaangalia tuu matokeo, sio wengi wanaozama ndani zaidi kwenye the motive behind, na kwa kawaidfa binadamu huwa tuu wabishi hakuna mfano!, hata Masiya alikataliwa kwao na wakamsulubisha!. Endeleeni tuu kuwa wabishi, mtajifunza na matokeo!.

Wenye kumbukumbu ya maneno yangu haya nawaombeni sana myaweke kwenye kumbukumbu!
"UTUNGAJI MITIHANI WA NECTA NA USAHIHISHAJI, UKO SET NIN SUCH A WAY, KUJENGA MATABAKA YA WALIONACHO NA WASIONACHO!, WENYE NACHO, WANAONGEZEWA, WASIO NACHO WANANYANGWANYWA HICHO KIDOGO WALICHO NACHO!, IN A LONG WAY, WALE WASIONACHO WAKISHA KUJA KUJIGUNDUA KUMBE NI KUNDI FULANI LA JAMII, THEN WATAFIKIA KIPINDI, WATAWANYANGANYA WALE WALIONACHO ILI AMA NA WAO WAPATE, AUY WATATEKETEZA MALI ZA WALIONACHO ILI TUKOSE WOTE!". Mwisho wa kunukuu!.

Pasco.
 
Kuna mambo mengi sana yanayohusiana na ufaulu wa wanafunzi. Mfumo wenyewe, ari ya wanafunzi, vitabu vya kiada na ziada, ari ya walimu etc
 
Mkuu Matola, binadamu wengi ni wagumu kuona far distance, wengi wanaangalia tuu matokeo, sio wengi wanaozama ndani zaidi kwenye the motive behind, na kwa kawaidfa binadamu huwa tuu wabishi hakuna mfano!, hata Masiya alikataliwa kwao na wakamsulubisha!. Endeleeni tuu kuwa wabishi, mtajifunza na matokeo!.

Wenye kumbukumbu ya maneno yangu haya nawaombeni sana myaweke kwenye kumbukumbu!
"UTUNGAJI MITIHANI WA NECTA NA USAHIHISHAJI, UKO SET NIN SUCH A WAY, KUJENGA MATABAKA YA WALIONAC
Tafadhali Pasco tueleweshe wenye nacho na wasionacho wanatumia syllabus tofauti? Hivyo NECTA wanatunga mtihani kufuata syllabus ya walionacho. Ila pole sana kwa matokeo ya wanao. Usifanye makosa wakienda form V
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola, binadamu wengi ni wagumu kuona far distance, wengi wanaangalia tuu matokeo, sio wengi wanaozama ndani zaidi kwenye the motive behind, na kwa kawaidfa binadamu huwa tuu wabishi hakuna mfano!, hata Masiya alikataliwa kwao na wakamsulubisha!. Endeleeni tuu kuwa wabishi, mtajifunza na matokeo!.

Wenye kumbukumbu ya maneno yangu haya nawaombeni sana myaweke kwenye kumbukumbu!
"UTUNGAJI MITIHANI WA NECTA NA USAHIHISHAJI, UKO SET NIN SUCH A WAY, KUJENGA MATABAKA YA WALIONACHO NA WASIONACHO!, WENYE NACHO, WANAONGEZEWA, WASIO NACHO WANANYANGWANYWA HICHO KIDOGO WALICHO NACHO!, IN A LONG WAY, WALE WASIONACHO WAKISHA KUJA KUJIGUNDUA KUMBE NI KUNDI FULANI LA JAMII, THEN WATAFIKIA KIPINDI, WATAWANYANGANYA WALE WALIONACHO ILI AMA NA WAO WAPATE, AUY WATATEKETEZA MALI ZA WALIONACHO ILI TUKOSE WOTE!". Mwisho wa kunukuu!.

Pasco.
This is total nonsense, si kwamba wengine tunaishi kwenye space ili tusijuwe tatizo ni nini, je unaelewa hoja ya Mbatia ilikuwa ni nini?

Na unaweza kunieleza sisi tuliosoma miaka ya 90 0 level mitihani ilikuwa inatungwa na kusahihishwa wapi? hivi ingekuwaje kama mpaka leo mitihani ingekuwa inatoka Uingereza kama kipindi Baba zetu wanasoma?
 
Wanabodi,

Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa NECTA utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua Wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo Mama Ndalichako kupitia NECTA anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for Mama, Dr. Joyce Ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.

NECTA kazi yake ni kutunga mitihani na kuisahihisha, sio kufundisha wanafunzi madarasani. Kwa hiyo Dr. Ndalichako na NECTA wanahusikaje na wanafunzi kufeli?
 
Elimu ya Tanzania bado imekaa katika mfumo wa kukomaa sana na kujibana sana ili utoke...sasa nadhani kwa hili watoto wengi wa kizazi hiki na waliofeli wameshindwa kulimudu
 
Hizi simu na music na head/erphone yaani mtu ataelewa nini....kutwa ni kuhangaika na mambo ambayo yana mchango mdogo sana kwenye elimu yetu,....na hata kwa sisi wazee
 
Pasco umechanganyikiwa wife alikuambia peleka watoto shule nzuri ukang'ang'nia shule za kata. Kubali matokeo mkuu wanao wamepata kile baba yao alichowaandalia na serikali yako ya ccm. Dr joyce hapa hana kosa ulitaka awafanyie wanao mtihani fikiria njia ya kucorect mistake uliyofanya mkuu
Mkuu Fidelity, sijutii uamuzi wangu kusomesha vijana wangu shule za kata, bali naumizwana kijana wangu kichwa wa hisabati, kupata daraja C.

Mwaka juzi, binti yangu last but one, aliomba kujiunga St. Marian Girls nini nikamgomea wife akawasha moto, hadi kumpeleka kufanya usahili, matokeo alikosa, alilia sana baada ya kuambia cut off point ni makisi 150/200. Akamthibitishia mama yake kuwa amedhulumiwa, hawezi kukosa average ya 75 kwa mitihani mitatu waliofanya!, binti analia tuu, hatimaye nikakubali, mimi, binti na mama, hao Bagamoyo kwa mkuu wa shule, tuki demand kuona matokeo halisi ya mwanetu!.

Kwanza tulikataliwa, nilipoeleza sababu nyeti nilizozisikia kuhusu selection ya St. Marian, Mkuu wa shule akanikubalia, ikaitishwa file, narking scheme na pepa za mwanangu, wamefanya pepa 4. hesabu, sayansi, Kiingereza na maarifa!. Kila pepa maswali 50 na kila swali makisi 1. Cut of point ni makisi 150/200. Binti kapiga 42, 32, 38 na 36. Total ni zaidi ya 150/200 hivyo ni over and above ile cut off point yao, kuuliza sasa kwa nini hakuchaguliwa, nikaletewa hadithi!.

Kufuatia matokeo haya mabaya, wale wazazi tunao waaminia wenetu, hatuwezi kukubali hili likapita hivi hivi tuu!.
Mimi ni kama Tomaso, sikubali mpaka nione pepa moja tuu, ya hesanu ya kijana wangu!. Kiukweli, pamoja na mengine yote, " The games that NECTA plays on poor people!, its very dangerous gamea!".
Pasco.
 
Kumbe Pasco ni miongoni mwa wale wanaolala wakiwaza kuandamana kwenda NECTA kumng'oa Ndalichako? Halafu wengine wanafuataga mkumbo tu kusema Ndalichako, ukiwauliza hawajui ni mwanaume au mwanamke, ili mradi tu wamekaririshwa na wakubwa zao "tukamng'oe Ndalichako NECTA"
 
Ndugu Mkodoleaji, ukikodoa sawa sawa utaona maelezo yako hapo kwenye RED na mfano ulioutoa vinahitilafiana!! Unadhani mitihani ingetungwa nje ya Muhtasari hayo maandamano yangezuilika???

NECTA wanapotunga mitihani, lazima wazingatie mambo mengi. waelewe kuwa kuna shule hazina walimu wakutosha, maabara, nk...... lazima kuwe na 25% ya maswali mepesi sana, 50% ya maswali ya kati na 25% ya maswali magumu. dk. joyce lazima ajiuzulu kwa sababu ofisi yake ilipotunga mitihani haikuzingatia haya yote.
La hasha. Sidhani kama kuna swali lilitoka nje ya Muhtasari na kama kuna mwenye ushahidi aweke humu. Pili unanishangaza unapotaka eti mitihani itungwe toka kwenye kitabgu/vitabu fulani...Nadhani cha msingi ni kuzingatia mada zilizopo kwenye muhtasari na maarifa anayotakiwa kuwa nayo mtahiniwa wa level hiyo. issue sio kitabu!!
 
Leo nilikuwa ninasoma gazeti moja la serikali, waalimu wakuu wa baadhi ya shule (Feza Boys, Marian Girls n.k) wamelalamika kuwa mfumo wa utunzi wa mitihani umekuwa tofauti na miaka ya nyuma ikiwemo mwaka jana. Pia wamesema hata "Grading System" imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Sasa sijui hizi ndio huenda zikawa sababu za msingi, anyway ngoja tuwasubirie hao wakuu sana wa Wizara na Baraza watoe tathmini yao.

[/COLOR]Kikubwa sana hapo pia wanafunzi wanawekwa kinidhamu ya kishule kama miaka hiyo ya zamani uzuri na wewe ni mtu wa zamani lakini tazama leo maisha ya wanafunzi jinsi yalivyo hakuna utofauti na watoto wa mitaani maana hata kwenye kumbi za starehe unawakuta hakuna wa kuhoji wengine wanaishi na mabwana kabisa ukiachilia mbali na wanaoishi geto kwa ghalama za wanaume,wakati zamani kwenda mjini tu ilikuwa ishu lazima uwe na get pass otherwise huna shule na ndio hizo shule tajwa hapo juu bado wanendeleza mfumo huo. kuhusu ugumu wa mitihani inawezekana ila aliyesoma marks zinapungua kidogo kama ilivyotokea kwa hizo shule ulizotaja, wa A hawezi pata F
 
wewe Pasco uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. yaani unaarisha utumbo. siku nyingine usiposti utumbo wako hapa unadhihirisha jinsi ulivyo kihiyo

ngoja tukupe shule,

wakati James Mbatia andai mitaala ya elimu ulifuatilia mjadala bungeni??.ni kosa la nani kutokuandaa mitaala ya elimu?? ni wizara au Baraza la mitihani??

baraza la mitihani linatunga mtihani kutokana na mitaala ya elimu haliandai mitaala na syllubus ya kufundishia ,

hata hivyo wengi tulitahiniwa na hili baraza, huwezi kujastfy eti baraza limetunga mitihani mi sijawahi kuona mtihani mgumu toka nianze kusoma na
kama mitihani ni migumu mbona kuna waliopata daraja la 1 na daraja la 2

baraza linatahini wanafunzi kulingana na sylabus, usiogope kuibebesha mzigo serikali yako acha ukipofu,

ni juzi tu walimu waligoma serikali ikakimbilia mahakamani. kufuta mgomo halali kibabe leo wewe hayo huyaoni??

baraza la mitihani limetimiza wajibu wake, serikali iwajibike

Wanabodi,

Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa NECTA utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua Wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo Mama Ndalichako kupitia NECTA anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for Mama, Dr. Joyce Ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.
 
katika maisha yangu sikuwahi kuona mtu wa ajabu kama wewe Pasco
nina maswali muhimu nataka nikuulize wewe kijana ,wacha msumeno ukate pande zote Pasco ili tutie akili.
Naendelea kutafakari nitakujibu, ila mimi sio kijana, labda ka ni kijana wa zamani!
Pasco.
 
Mkuu Fidelity, sijutii uamuzi wangu kusomesha vijana wangu shule za kata, bali naumizwana kijana wangu kichwa wa hisabati, kupata daraja C.

Mwaka juzi, binti yangu last but one, aliomba kujiunga St. Marian Girls nini nikamgomea wife akawasha moto, hadi kumpeleka kufanya usahili, matokeo alikosa, alilia sana baada ya kuambia cut off point ni makisi 150/200. Akamthibitishia mama yake kuwa amedhulumiwa, hawezi kukosa average ya 75 kwa mitihani mitatu waliofanya!, binti analia tuu, hatimaye nikakubali, mimi, binti na mama, hao Bagamoyo kwa mkuu wa shule, tuki demand kuona matokeo halisi ya mwanetu!.

Kwanza tulikataliwa, nilipoeleza sababu nyeti nilizozisikia kuhusu selection ya St. Marian, Mkuu wa shule akanikubalia, ikaitishwa file, narking scheme na pepa za mwanangu, wamefanya pepa 4. hesabu, sayansi, Kiingereza na maarifa!. Kila pepa maswali 50 na kila swali makisi 1. Cut of point ni makisi 150/200. Binti kapiga 42, 32, 38 na 36. Total ni zaidi ya 150/200 hivyo ni over and above ile cut off point yao, kuuliza sasa kwa nini hakuchaguliwa, nikaletewa hadithi!.

Kufuatia matokeo haya mabaya, wale wazazi tunao waaminia wenetu, hatuwezi kukubali hili likapita hivi hivi tuu!.
Mimi ni kama Tomaso, sikubali mpaka nione pepa moja tuu, ya hesanu ya kijana wangu!. Kiukweli, pamoja na mengine yote, " The games that NECTA plays on poor people!, its very dangerous gamea!".
Pasco.

Pasco,

Nikijumlisha hapo kwenye bluu napata jumla ya alama 148......! Kwa maana hiyo binti yako hakufikisha alama 150!
 
Leo nilikuwa ninasoma gazeti moja la serikali, waalimu wakuu wa baadhi ya shule (Feza Boys, Marian Girls n.k) wamelalamika kuwa mfumo wa utunzi wa mitihani umekuwa tofauti na miaka ya nyuma ikiwemo mwaka jana. Pia wamesema hata "Grading System" imekuwa tofauti na miaka ya nyuma. Sasa sijui hizi ndio huenda zikawa sababu za msingi, anyway ngoja tuwasubirie hao wakuu sana wa Wizara na Baraza watoe tathmini yao.
Kwa grading system sidhani kama inaweza badilishwa maana lazima iandikwe nyuma ya cheti ambazo tayari waliopita wameshaandikiwa hivyo itawezekanaje ichi ikawa na grading tofauti,kuhusu utunzi ni vizuri pia tukaishi kwa uhalisia kuliko kukalili kama hawatunga nje ya syllabus sioni shida ila haya kuangalia ya enzi hizo ndio maana ichi inarudi nyuma hakuna mawazo mapya kulingana na wakati
 
Hapa sijakuelewa.......maswali yaoke kwenye kitabu? Sio yatungwe na wataalamu wa NECTA?

upo sahihi maswali lazima yatungwe na wataalamu wa necta kwa kufuata mihutasari inayotumika mashuleni. mihutasari iliandaliwa na necta. NECTA wanapotunga mitihani, lazima wazingatie mambo mengi. waelewe kuwa kuna shule hazina walimu wakutosha, maabara, nk...... lazima kuwe na 25% ya maswali mepesi sana, 50% ya maswali ya kati na 25% ya maswali magumu. lazima mtunzi wa maswali azingatie table of specification ambayo hufuata formula ya knowledge, comprehension, application, analysis, synthesis na evaluation (KCAASE). ukichunguza mitihani mingi ya necta, utakuta ina kasoro nyingi. haiendani na formula ya kcaase ambayo ni maarufu katika utunzi wa mitihani.

dk. joyce lazima ajiuzulu kwa sababu ofisi yake ilipotunga mitihani haikuzingatia haya yote. mwaka jana, umoja wa walimu wa kiislamu wa somo la maarifa ya kiislamu, walilalamika kuwa wanafunzi wanaofanya mtihani wa maarifa wanafelishwa. ilibidi kamati iundwe na ikabainika madai haya yana ukweli. dkt hakujiuzulu. i think it is the right time for her to quit.
 
Kwani Huyu mama ndo anawafundisha kutukana si wazazi tunamtukana spika na watoto wanafuata kutukana kwenye paper. Na bado watatumia cms za matsusi wazazi wao. Maji hufuata mkondo
 
Back
Top Bottom