Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
View: https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae.
UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama programme leader.
Sio sahihi kabisa 'Dr Kimei' kuto-share elimu yake ya finance na experience kwa vijana wa kesho.
Hiyo interview ni very educational on evolution ya Tanzania financial sectors, hasa retail banking.