Dr Kimei atolewe bungeni akafundishe finance UDSM muda wake uliobaki

Aache mshahara wa mil 18 then akalipwe mil 3 ?
Ni hivi kuna watu wabishi tu ilimradi wabishe na kuna watu wanaopenda kujifunza na kwenye kujifunza kuna kusoma vitabu na kuelewa. Baada ya hapo kuna kuna kuwasikiliza wataalmu wa industry kukunoa zaidi.

Sasa kwa mtu ambae anaweza bishia uelewa wa Kimei kuhusu maswala ya banking, au kubishia hiyo interview yake wakati ameshare strategic experience as a CEO leading to their success na mimi kubishana nae ni utoto.

Vinginevyo Dr Kimei ameelezea umuhimu wa team working ili kufanikiwa, uelwa wa socila banking needs and strategizing accordingly to gain adavatange, asset management ya shirika, risks management, changamoto zao, growth strategy, banking risks, tough decision, compromosing.

Sasa kuona quality ya hiyo interview inabidi na wewe uwe na elimu sahihi ya topic.

Ndio maana msingi wa mada wa mada yangu, Dr Kimei aachance na siasa akafundishe na labda kuwa government consultant.
 
Mbona ana jukwaa zuri kabisa la kutoa shule ya bure kwa taifa na wananchi anaowaongoza, tusikie uzoefu wake na mtazamo wake kupitia bunge.
Ni kuhusu ku-share elimu yake ya banking, sio kupambania uwaziri wa fedha au sijui Governor wa BoT. Huko tushakubali kwa sasa mpeane mapoyoyo no one cares. Sasa aina maana Dr.Kimei uelewa wake na exprience yake usitumike kunoa watanzania wa kesho.

Serikali ni 'going concern' mimi na wewe tutakufa siku moja serikali ya Tanzania itaendelea mpaka siku jua kwa mujibu wa astrophysicist mpaka hydrogen ikiisha ndio kasheshe.

Dr Kimei has something to share kwenye elimju yetu ya finance.
 
Ni hivi kuna watu wabishi tu ilimradi wabishe na kuna watu wanaopenda kujifunza na kwenye kujifunza kuna kusoma vitabu na kuelewa. Baada ya hapo kuna kuna kuwasikiliza wataalmu wa industry kukunoa zaidi.

Sasa kwa mtu ambae anaweza bishia uelewa wa Kimei kuhusu maswala ya banking, au kubishia hiyo interview yake wakati ameshare strategic experience as a CEO leading to their success na mimi kubishana nae ni utoto.

Vinginevyo Dr Kimei ameelezea umuhimu wa team working ili kufanikiwa, uelwa wa socila banking needs and strategizing accordingly to gain adavatange, asset management ya shirika, risks management, changamoto zao, growth strategy, banking risks, tough decision, compromosing.

Sasa kuona quality ya hiyo interview inabidi na wewe uwe na elimu sahihi ya topic.

Ndio maana msingi wa mada wa mada yangu, Dr Kimei aachance na siasa akafundishe na labda kuwa government consultant.
Weka andiko lake hapa
 
Apumzike huo umri wake wa 65+ unatosha hizo nafasi waachie vijana .

Kwann usimshauri aanzishe biashara ili alipe kodi na kuongeza mapato .

Dunia ya sasa hivi inahitaji watu smart na sio hao wazee wa nadharia

Kwann hata asifungue kampuni za consultant
Ok wewe smart embu elezea, ungeigeuza vipi bank ambayo unaritishwa ina hasara.

Plan yako ya kuongeza banks assets ingekuwa vipi, wakati biashara ya banking ni ‘illiquidity’ wanakopa kwa muda mfupi, wakati wao wanakopesha kwa muda mrefu.

How do you even, manage asset (Kimei kaongelea jinsi, yeye na team yake walivyo navigate kuikuza bank).

Haya na wewe tueleze kabla kujiandikia mambo tu.

Ndio maana nikasema Kimei akafundishe kuwapa perspective vijana wa kesho kuhusu maswala ya finance/banking/economy. Bi bora akagawe hiyo elimu kuliko kubaki kwenye siasa wakati hiyo knowledge inahitajika.

If anything kwangu mimi alichosema Dr Kimei ni basic (bank thinking) ambayo kwanza wanafunzi wanatakiwa kujua how things work.,

On national policies ningekuwa waziri wa fedha banks would have have to change kila mtu angeaumia serikali na banks.

Sasa ili tuelewane unahitaji ku-negotiate na bankers wenye akili za Kimei sio mataahira kama hakina BAK ambao washazoea kukopeshea deposit ya hela za serikali kama asset yao.

Ni hivi sikutaka ili hii mada iwe ya siasa, ila Kimei; UDSM inamuhitaji kwa faida ya kuelimisha vijana wa kesho. Hata kama afundishi walau as a programme leader.

Hiyo interview ni very educational.
 
Ni hivi kuna watu wabishi tu ilimradi wabishe na kuna watu wanaopenda kujifunza na kwenye kujifunza kuna kusoma vitabu na kuelewa. Baada ya hapo kuna kuna kuwasikiliza wataalmu wa industry kukunoa zaidi.

Sasa kwa mtu ambae anaweza bishia uelewa wa Kimei kuhusu maswala ya banking, au kubishia hiyo interview yake wakati ameshare strategic experience as a CEO leading to their success na mimi kubishana nae ni utoto.

Vinginevyo Dr Kimei ameelezea umuhimu wa team working ili kufanikiwa, uelwa wa socila banking needs and strategizing accordingly to gain adavatange, asset management ya shirika, risks management, changamoto zao, growth strategy, banking risks, tough decision, compromosing.

Sasa kuona quality ya hiyo interview inabidi na wewe uwe na elimu sahihi ya topic.

Ndio maana msingi wa mada wa mada yangu, Dr Kimei aachance na siasa akafundishe na labda kuwa government consultant.
Nje ya mada..!!
Wewe unaonesha ni msomi mzuri mwenye uelewa mpana ila tatizo lako una kiburi cha akina 'nshomile" wakati unapowakilisha hoja.
 
Ok wewe smart embu elezea, ungeigeuza vipi bank ambayo unaritishwa ina hasara.

Plan yako ya kuongeza banks assets ingekuwa vipi, wakati biashara ya banking ni ‘illiquidity’ wanakopa kwa muda mfupi, wakati wao wanakopesha kwa muda mrefu.

How do you even, manage asset (Kimei kaongelea jinsi, yeye na team yake walivyo navigate kuikuza bank).

Haya na wewe tueleze kabla kujiandikia mambo tu.

Ndio maana nikasema Kimei akafundishe kuwapa perspective vijana wa kesho kuhusu maswala ya finance/banking/economy. Bi bora akagawe hiyo elimu kuliko kubaki kwenye siasa wakati hiyo knowledge inahitajika.

If anything kwangu mimi alichosema Dr Kimei ni basic (bank thinking) ambayo kwanza wanafunzi wanatakiwa kujua how things work.,

On national policies ningekuwa waziri wa fedha banks would have have to change kila mtu angeaumia serikali na banks.

Sasa ili tuelewane unahitaji ku-negotiate na bankers wenye akili za Kimei sio mataahira kama hakina BAK ambao washazoea kukopeshea deposit ya hela za serikali kama asset yao.

Ni hivi sikutaka ili hii mada iwe ya siasa, ila Kimei; UDSM inamuhitaji kwa faida ya kuelimisha vijana wa kesho. Hata kama afundishi walau as a programme leader.

Hiyo interview ni very educational.
Kimei is overrated muache apumzike na aendelee kugonga meza huu ushauri ungempatia akiwa nab 50s na sio yupo late 60 .

Muache mzee wa watu walimu wapo wengi
 
Hiyo ni baada ya kutoa counter arguments ya elimu yake aliyotoa.

Hiyo interview ya Kimei ni educational.

Kimei wa bungeni na Kimei ambae akiamua kutoa elimu ya banking ni watu wawili.

Sijasema awe Kimei awe waziri wa fedha, sijui huko nani serikalini; surely kwenda kufundisha ni nafasi ya meritocracy.

But then kama amuoni value yake, mimi ni nani wakulazimisha.
 
Umri wa kufundisha chuo miaka mingapi ?
 
Ok wewe smart embu elezea, ungeigeuza vipi bank ambayo unaritishwa ina hasara.

Plan yako ya kuongeza banks assets ingekuwa vipi, wakati biashara ya banking ni ‘illiquidity’ wanakopa kwa muda mfupi, wakati wao wanakopesha kwa muda mrefu.

How do you even, manage asset (Kimei kaongelea jinsi, yeye na team yake walivyo navigate kuikuza bank).

Haya na wewe tueleze kabla kujiandikia mambo tu.

Ndio maana nikasema Kimei akafundishe kuwapa perspective vijana wa kesho kuhusu maswala ya finance/banking/economy. Bi bora akagawe hiyo elimu kuliko kubaki kwenye siasa wakati hiyo knowledge inahitajika.

If anything kwangu mimi alichosema Dr Kimei ni basic (bank thinking) ambayo kwanza wanafunzi wanatakiwa kujua how things work.,

On national policies ningekuwa waziri wa fedha banks would have have to change kila mtu angeaumia serikali na banks.

Sasa ili tuelewane unahitaji ku-negotiate na bankers wenye akili za Kimei sio mataahira kama hakina BAK ambao washazoea kukopeshea deposit ya hela za serikali kama asset yao.

Ni hivi sikutaka ili hii mada iwe ya siasa, ila Kimei; UDSM inamuhitaji kwa faida ya kuelimisha vijana wa kesho. Hata kama afundishi walau as a programme leader.

Hiyo interview ni very educational.
Inamuhitaji ila sio lazima atoe madini akiwa UD. Anaweza kufanya podcasts tu hata still akiwa mbunge.
 
Umri wa kufundisha chuo miaka mingapi ?
Ubishi wa kitoto.

Kimei anatakiwa kwenda kufundisha.

Uwezi kuwacha mtu kama huyo apotee na maarifa yake na experience yake hivi-hivi.

Uhalisia, wa mambo ambayo hatupendi kusema mimi nina MBA ya finance and Banking.

Hiyo Interview ya Kimei imenifunza mengi kwetu kumekucha (it’s educational kama una abc ya industry) ndio maana naona value yake ya kwenda kufundisha.

Kwetu kumekucha 👋
 
Ni kuhusu ku-share elimu yake ya banking, sio kupambania uwaziri wa fedha au sijui Governor wa BoT. Huko tushakubali kwa sasa mpeane mapoyoyo
Hakuna sehemu nimesema haya, ana jukwaa kubwa kuliko kwenda chuoni kutoa uzoefu wake na ujuzi wake kuhusu mambo fedha na uchumi.
 
Back
Top Bottom