Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,309
Kama ni mtu mwerevu nini kinamzuia kuonyesha weledi wake akiwa bungeni na nje ya bunge.Kimei wa bungeni na Kimei ambae akiamua kutoa elimu ya banking ni watu wawili.
Kama ni mtu mwerevu nini kinamzuia kuonyesha weledi wake akiwa bungeni na nje ya bunge.Kimei wa bungeni na Kimei ambae akiamua kutoa elimu ya banking ni watu wawili.
Wewe ukipewa bank iliyokuwa inatengeneza hasara, can you change their fortune?Hakuna sehemu nimesema haya, ana jukwaa kubwa kuliko kwenda chuoni kutoa uzoefu wake na ujuzi wake kuhusu mambo fedha na uchumi.
Hiyo interview niamini maelezo ya ‘Dr Kimei’ ni very technical and educational.Kama ni mtu mwerevu nini kinamzuia kuonyesha weledi wake akiwa bungeni na nje ya bungeni.
Una uhakika unataka jibu langu? YES naweza.Wewe ukipewa bank iliyokuwa inatengeneza hasara, can you change their fortune?
Kiongozi nakubaliana na sehemu ya hoja yako, lakini ni makosa sana kumfananisha Dr Kimei eti na Diamond na mataahira wengine ulliowataja hapo.Nafikiri, sio lazima kuwa mwalimu, inaweza ikaanzishwa tu programme ya kuwatumia watu walio-excel kwenye sector fulani, kutoa mihadhara, mijadala basing on their experience. Lengo ni kutoa elimu, experience.
Ukisema kufundisha humu, utapingwa na watu wanaoamini katika man made systems ambazo ziko defective na mapungufu, utaambiwa et kwa nini hakupata GPA 3.8 first degree??Wanashindwa kuelewa kuwa mwisho wa siku tunaangalia watu wenye kuleta mabadiliko kwenye Dunia na GPA sio kipindi cha uwezo na akili 100%.
Kimei, Diamond, Mbowe, Kikwete, wafanyabiashara zinazoeleweka na waliofanikiwa, watu walioexcell kwenye diplomasia, utumishi wa uma, private institutions etc.kada mbalimbali
We ni kiaz sanaKazi inayomfaa ndo hiyo kuwa chawa hana IQ pale CRDB MTU yeyote anaweza kuwa meneja na kuwa meneja haimaniishi anajua mambo .