Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Kazi inayomfaa ndo hiyo kuwa chawa hana IQ pale CRDB MTU yeyote anaweza kuwa meneja na kuwa meneja haimaniishi anajua mambo .
View: https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae.
UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama programme leader.
Sio sahihi kabisa 'Dr Kimei' kuto-share elimu yake ya finance na experience kwa vijana wa kesho.
Hiyo interview ni very educational on evolution ya Tanzania financial sectors, hasa retail banking.
Huo ni mtazamo wako, yeye anachukua chake, kama ccm yeyote yule.
View: https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae.
UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama programme leader.
Sio sahihi kabisa 'Dr Kimei' kuto-share elimu yake ya finance na experience kwa vijana wa kesho.
Hiyo interview ni very educational on evolution ya Tanzania financial sectors, hasa retail banking.
Sio kila mwenye PhD ana sifa ya kuwa lecturer wa UDSM. GPA katika shahada yake ya awali na ya umahiri ni sifa ya msingi, sambamba na ithibati ya vyuo alivyosomea hizo shahada. Kuwa lecturer UDSM inabidi ujipangeDr Kimei atolewe bungeni akafundishe finance UDSM muda wake uliobaki
Sad, kwa sababu ana fikra za kuwajengea vijana wa kesho.Huo ni mtazamo wako, yeye anachukua chake, kama ccm yeyote yule.
SadAendelee na kuwa praise and worship
Kujua tofauti yenu, sikiliza hiyo interview yake.Sio kila mwenye PhD ana sifa ya kuwa lecturer wa UDSM. GPA katika shahada yake ya awali na ya umahiri ni sifa ya msingi, sambamba na ithibati ya vyuo alivyosomea hizo shahada. Kuwa lecturer UDSM inabidi ujipange
Kuna watu wanahitaji kurithishwa banking knowledge yake.Akafundishe watu wizi wa kura
View: https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae.
UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama programme leader.
Sio sahihi kabisa 'Dr Kimei' kuto-share elimu yake ya finance na experience kwa vijana wa kesho.
Hiyo interview ni very educational on evolution ya Tanzania financial sectors, hasa retail banking.
Educational au educative

Actually mimi nimeanza kumfuatulia Kimei baada ya andiko lake miaka hiyo akiwa bado yupo BoT akielezea sababu kwanini banks zilikuwa failed.Huyo kilaza Mpaka sasa ameandika Machapisho mangapi kuhusu mambo ya fedha na uchumi ?
Mjinga Kama huyo ambaye hata ccm wamemnyima uwaziri ndo unataka akawe mkufunzi?
Shubamiti mtoa mada najua unampigia debe Ila huyo jamaa ni kilaza
The issue is not about mimi vs yeye, ni yeye vs standards. Kama ana meet, aombe tu.Kujua tofauti yenu, sikiliza hiyo interview yake.
Ndio utaona tofauti yake kati yako na wewe kwenye maswala ya finance ni mbingu na ardhi.
Wazungu wanasema its only easier if you know it.
Tuache mambo ya kujisemea hajastaafishwa kwa lazima, ni kwa ridhaa yake; embu sikiliza interview badala ya kutoa vitu kutoka kichwani kwako.Weka hapa machapisho yake tuone , zaidi ya ufisadi mkubwa aliufanya Crdb hadi kustaafishwa kwa lazima kuna nini kingine .?
Aendelee na siasa za wizi.
MTU msomi makini unaweza kuiba kura , kuwa mwizi wa fedha za wananchi n.k
Kwani huko Tanzania wanaona merit.The issue is not about mimi vs yeye, ni yeye vs standards. Kama ana meet, aombe tu.
Unataka kusema yeye hajui nini anafanya na zipi ndoto zake.Actually mimi nimeanza kumfuatulia Kimei baada ya andiko lake miaka hiyo akiwa bado yupo BoT akielezea sababu kwanini banks zilikuwa failed.
Hata hiyo interview niliyoweka kuelewa na kuona, his intelligence uhalisia inataka uwe na uelewa wa interview.
Binafsi ningekuwa kiongozi kuna mambo banks have to change, nonetheless ameelezea kwa kina sana how the banking system work. Its educational kama una fundamental za banking.
Na kwa elimu na experience on evolution of Tanzania banking system, kama hana kazi serikalini tena. Kuliko kuwa mmbunge bora akafundishe surely UDSM wanaweza match mshahara wake wa ubunge.
Huko vunjo wamteme tu.Unataka kusema yeye hajui nini anafanya na zipi ndoto zake.
Angekuwa yupo smart kichwani sifikirii Kama angemalizia uzee wake kwa style anayotumia .
Michezo aliyokuwa anafanya Vunjo inatosha kuonesha kuwa hana IQ ya kuwa mkufunzi.