Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Toka umeanza kusifia umepata nini?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Maprofesa wachumia tumbo ni Kama wale WAGANGA MAPROFESA WA KIENYEJI KUTOKA SUMBAWANGA TUU
 
Waziri wa Mipango anapaswa kuwa mtaalam na siyo mwanasiasa tu. Nikiangalia mpango wa Taifa wa maendeleo upo vizuri ila mwasilishaji wa mpango huo anapwaya. Kunaonekana kama zile planing strategies hana ila anayo hotuba na majibu kutoka kwa wataalam

Labda niulize mwenye CV yake atusaidie tuone kama kuna jambo lolote la kimpango alilowahi kufanya katika umri wake wa masomo na kazi?

Tusidhani PHd nikujua kila kitu. Mwenye CV yake atupe tuichambue tuone alifaa kuwa waziri wa nini
 
Mkuu utachambua nini yule Elimu yake ni Sociology kuanzia Degree mpaka PhD!

Yule galasa hamna kitu mule!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kitila amebobea kwenye Education. Hii mizigo mingine wanayompa ni kwa sababu ya Uchawa tu hasa kutetea DP World
 
Mnadhani nchi itafaidika na uprofesa? Nitajie ambae amewezesha Tanzania kupiga hatua ya maana.
 
Waziri ni msimamizi wa sera zaidi. Kwa maneno mengine ni mtu anayejua lengo, hivyo kuwatumia wataalamu kulifikia.

Siyo lazima awe mtaalamu aliyebobea kwa mambo ya wizara anayoiongoza, Ila ikitokea akawa hivyo ni bora zaidi.

Ni muhimu kuelewa kuwa elimu ya darasani hutumika moja kwa moja kwa asilimia ndogo sana kuendesha maisha ya siku kwa siku (ukiondoa walimu ambapo maprofesa ni sehemu yao).

Maisha huendeshwa kwa akili za kawaida zaidi ya asilimia 95, elimu za ubobevu hutumika chini ya 5%.
 
Huyo ni Professa wa Saikolojia wapi na wapi na Mipango. Juzi amewasilisha mpango ambao hautekelezeki. Nchi hii tunatakiwa tuamke.
 
Huyu jamaa hana mipango yoyote anayoijuwa

Ova
 
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Ahahahahaha! Kwahiyo unahisi unajakua sana mambo hayo kuliko Seneti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?
 
Ana mchango mkubwa kwa jamii ya DP world, si kwa jamii ya Mtanzania!
 
Prof ambaye elimu yake haina faida yoyote kwa taifa zaidi ya kuitumia kujipendendekeza kwa watawala ili ashibe tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…