kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Toka umeanza kusifia umepata nini?Mambo ya imani ni very delicate inakubidi uwe insensitive, ni ukweli kabisa kuna dini wanaamini shetani bila wao kujijua kwasababu shetani ameji disguise as God!. Mtu ukilijua hilo unatakiwa kujiondokea tuu mwenyewe na kuwasaidia wengine realization wajitambue but not despising dini yoyote hata wanaoabudu sanamu. Kama amefanya hivyo hilo ni kosa kubwa. Ila mtu kuwa bright , intelligent na learned msomi toka vikabila vidogo vidogo unakuta ukoo mzima PH.D ni moja tuu, lazima unakuwa arrogant. Wako ma Prof. nawajua kwenye bussiness card zao wameandika just a plain name
P
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app