Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Hata Maghembe ni profesa na mpaka sasa nimeshindwa kumtofautisha na Profesa maji marefu sembuse huyu kuwadi Kitila Mkumbo
 
Last edited by a moderator:
Acha kupanick kk....tumpe hongera kiroho safi tu! Usiwe na roho ya wivu kama Dr Slaa.

Mwanaume mzima umekomaa kushadadia ya wanaume wenzio kama dume jike... shit!
 
Tuletee tamko la chuo kama lilivyo hapo chini kwenye picha


 
Yaani Mwigulu leo anampongeza Kitila Mkumbo....! Hongera Prof.na kwa kiwango hiki wewe sio wa laki mbili mbili tena kama walivyozoea,inabidi wapandishepo.

Mwigulu chemba ni ndumi lakuwili
 


Kwa tunao tumia akili za Shule za kata!
Tunaweza kuhoji U-Prof. wa Kitila!

Maana U-prof wake waweza kuwa zawadi kwa Kazi nzuri aliyofanya ya kutaka kubomoa CDM kwa Ufadhili wa CCM.

Usisahau kutuletea na matokeo ya Kikao cha nidhamu ya Chuo Kikuo(Mlimani) kuhusu kujihusisha kwa Dr.Kitila Mkumbo na shughuli za siasa huku akijua kuwa ni mwajiriwa wa Chuo na taratibu haziruhusu hivyo.





[h=3]Prof Safari now joins Chadema - IPP Media[/h]
Safari, who formerly worked as a professor at the Foreign Relations Institute lost his job in the 1990s after giving Prof Lipumba a lift in his official car.
 
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
True, kama hajui ni bora auize unafikiri u full prof unaokotwa
 
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana

Haya maswal hakuna majibu yake coz uhalisia hakuna...but kama hoja nikuitwa tuu basi sintashanga tanzania.
 
Assuming taarifa iko sahihi-Natoa pongezi zangu kwa Prof. K. Mkumbo kitaaluma it is a well deserved promotion. Hapa naweka siasa kando.
 
Nampongeza sana Prof. Dr. Kitila Mkumbo kwa kupata hiyo promotion kutoka Mhadhiri mwandamizi kuwa Profesa msaidizi (Associate Professor). Pamoja na pongezi napenda pia nampa changamoto aoneshe kweli yeye ni "Profesor" kupitia maneno na matendo yake maana hata kina Maji marefu na Joseph Haule nao wanajiita ni Maprofesa!
 
Toka ahongwe vilaki 2 na zitto pamoja na masalia wenzake nilishamshusha mcholoni kabisa,hana maana yoyote hapa duniani labda kwa misukule wenzie.Ajabu hapa tz maprofesa wengi wao wachumia tumbo tu
 
Tuletee tamko la chuo kama lilivyo hapo chini kwenye picha


This is great Meandu, I think to be fair Dr. Kitila Mkumbo asihukumiwe kwa political affiliation/ideology (at least kwa hili la academic), because kuna vigezo vya kumfanya mtaaluma apate promotion kama press release inavyo ainisha kwa wale waliotajwa. Muhimu hapa, ni kupata evidence kama iliyowekwa hapo juu, then ikibidi tupate links za international and national journals alizopublish kazi zake - just for learning curiosity! Ni imani yangu kuwa the University Council hufanya haki kwa wote wanaostahili, wakiongozwa na slogan maarufu, 'you either publish or you perish'
 
Unachanganya mambo..siasa na elimu ni vitu tofauti. Kitila akipata u-profesa hiyo ni kwa mujibu wa taalum na wasomi wote watamheshimu kwa hilo bila kujali chama. Lakini ukirudi katika siasa; siyo ma-profesa wote wanaheshimika kisiasa na wengi wamegaragazwa kisiasa na hata watu walioishia darasa la saba tu). Hongera Profesa Kitila Mkumbo lakini pole kwa kukoroga mambo Chadema
 
Mambo mengine yanakera sana .... Kitila Mkumbo kuwa Profesa ni habari njema kama mwanaJF mwenzetu lakini pia kama mwalimu na mwanasiasa maarufu .............kwanini ugeuze uzi huu wa habari hii njema kuwa sehemu ya kejeli za kisiasa? Sidhani hata huyo Kitila atafurahia uzi huu wa kumpongeza kujaa kejeli za kisiasa zilizochochewa na mwanzisha mada ......
 
Mfugaji wa ngombe au mkulima wa pamba ana dhamani 100% kuliko maprofesa wa bongo hakuna wanacho kifanya zaidi ya search njia za kutibu njaa zao mbaya zaidi wengine wanachangia kuharibu baadhi ya mambo na mifumo katika taifa letu check wizara ya elimu ilivyo sasa so My question kwa mtoa mada anaona ni lipi bora litaletwa na huyo prf.wako aliye saliti chama chake na wa TZ wapenda mabadiliko kwa karanga za kuchemsha kama panya???
 
Hivi unajua kuwa Chelsea Clinton ana PhD kutoka Oxford? Sijawahi kuona popote pale akijitambulisha kama Dr.Chelsea Clinton...

Sasa subiri Ridhiwani apewe hata hiyo ya heshima....

Hii habari ya kujilimbukia Ph.D kwa kutaka kuitwa Dr. hata kwa Ph.D za kupewa ni habari ya ulimbukeni wa nchi ambazo hazina access na elimu na Ph.D inaonekana kuwa ni kitu cha ajabu.

Huwa namtania sana Miss Thang, namwambia "ukimaliza Ph.D yako I will get such a kick out of calling you Dr (her name)". Akisikia hivyo huwa ana ni shoot down kichizi, hataki kuitwa Dr. outside of academic circles, anataka nimuite jina lake kama sasa tu.

Nchi nyingine, depending on the circles, ukiwa una parade Ph.D unaonekana a failure, a pretentious nerd. Wajanja walikuwa kwenye Ph.D track wameanzisha Google huko, wewe unaenda kuwa Ph.D unaenda kulipwa a measly sum na kufundisha some ungrateful brats.

Ndiyo maana unakuta mtu kama Nyerere, aliyejimix ma Edinburgh huko kitambo, hata kujinadi na u Dokta wa kupewa huwezi kumsikia.

Yeye alishajipa u Dokta wake mwenyewe wa Kiafrika tangu zamani. Mwalimu. Which is basically what the Doctor in Ph.D is. Dotori.

Sasa Nyerere was original in that. He created a uniquely Tanzanian and uniquely Nyerereist honorific. Kiasi kwamba hata Mwinyi, ambaye naye alikuqa mwalimu, hakuitwa "Mwalimu Mwinyi".

These other apes will just keep on aping.
 
Tofauti ya udaktari na uprofesa huwa ni kitu cha kuchekesha sana!

Kwa ufupi hakuna chuo cha elimu ya uprofesa, bali ni utafiti ukikubalika na jopo la maprofesa basi unapewa!

Mfano kiongozi wa OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA (OUT), Tolly Mbwette aliitwa profesa baada ya kubuni vimbwete `vimbweta' vya kusomea vyuoni.

Napenda kujua kipi kimempa uprofesa ili nicheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…