Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Hongera Prof Kitila Mkumbo
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupanick kk....tumpe hongera kiroho safi tu! Usiwe na roho ya wivu kama Dr Slaa.
Yaani Mwigulu leo anampongeza Kitila Mkumbo....! Hongera Prof.na kwa kiwango hiki wewe sio wa laki mbili mbili tena kama walivyozoea,inabidi wapandishepo.
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.
Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!
Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!
Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
[h=3]Kitila mkumbo salam zikufikie - ----------- Forum[/h]
Botra nyie mmepata hata fursa ya kuwa viongozi. Wapo waliopitia katika magumu mengi hayo na hawatapata hata fursa ya kuwa wajumbe wa nyumba kumi; na bado wanakipenda chama chao. Kila mtu ana mchango wake. Ni bora utambuliwe. Zitto na Kitila wamefanya yao. Lakini mchango wa mtu si tiketi wala kisingizio cha kuwageuka wenzako.
Yuda Iskarioti alikuwa mtunza hazina wa wafuasi wa Yesu. Alipomgeuka bosi wake akamuuza kwa vipande 30 vya fedha ameitwa msaliti hata leo. Hakuna anayekumbuka mchango wake wa miaka yote aliyoshikilia mfuko.Hata angeibuka mtaani leo, angeitwa Yuda Iskarioti Msaliti. Ndiyo anuani aliyochagua.
[h=3]Prof Safari now joins Chadema - IPP Media[/h]
Safari, who formerly worked as a professor at the Foreign Relations Institute lost his job in the 1990s after giving Prof Lipumba a lift in his official car.
Acha kupanick kk....tumpe hongera kiroho safi tu! Usiwe na roho ya wivu kama Dr Slaa.
True, kama hajui ni bora auize unafikiri u full prof unaokotwaHawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
This is great Meandu, I think to be fair Dr. Kitila Mkumbo asihukumiwe kwa political affiliation/ideology (at least kwa hili la academic), because kuna vigezo vya kumfanya mtaaluma apate promotion kama press release inavyo ainisha kwa wale waliotajwa. Muhimu hapa, ni kupata evidence kama iliyowekwa hapo juu, then ikibidi tupate links za international and national journals alizopublish kazi zake - just for learning curiosity! Ni imani yangu kuwa the University Council hufanya haki kwa wote wanaostahili, wakiongozwa na slogan maarufu, 'you either publish or you perish'Tuletee tamko la chuo kama lilivyo hapo chini kwenye picha
![]()
![]()
ni Prof. au Laprofeseri.
Hata Obama alikuwa professor wa sheria, lakini hana Ph.D
Hivi unajua kuwa Chelsea Clinton ana PhD kutoka Oxford? Sijawahi kuona popote pale akijitambulisha kama Dr.Chelsea Clinton...
Sasa subiri Ridhiwani apewe hata hiyo ya heshima....