Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Asante kwa kuweka sura ili tujue akitunyemelea
 
Binafsi naona wakurugenzi wa usalama wa taifa walio acha alama na jina nzuri ni balozi Agustino Mahiga, Kanal Apson mwangonda, mchungaji Modestus kapilimba, Diwani athumani.
Mwangonda na kapilimba ondoa hao wengine kweli ni watu wa haki na weledi Mwangonda sio alingoa kucha za Ulimboka bila ganzi??nisaidie kama nimekosea
 
Hapa

Kipilimba alikuwa na pistol kali sana ambayo iko verified kuingia nayo popote tz inaonekana wazi ; huyu ndio alimnyetisha mchonga juu ya bwawa la mindu morogoro miaka ya 80 wabrazili kuiba dhahabu na mchonga akawatimua ndani ya masaa 24
Naskia alikuwa kijana wa Membe akawa anamsogezea marehem intel info. Akashtukiziwa na Jiwe.

Amini usiamini pia bashite alikuwa kijana wa marehem mwana diplomasia mzoefu.
 
Seems aliona nafasi ya ubalosi ni demption.

Balozi anaripoti kwa afisa ambaye yupo chini ya idara


Nilimuelewa sana Rais Samia kwenye hotuba yake ya kuwaapisha viongozi pale Chamwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…