Samwel
JF-Expert Member
- Mar 25, 2007
- 224
- 8
mitusi yote hii ya nini ndugu yangu............................
mbona akina lowasa,rostam na kikwete walijiundia kampuni hewa wamechota pesa mpaka wamechoka tunatumbua mimacho tu akina hosea wanaficha ukweli afu wanataka kuwachunguza walioleta ukweli....................sembuse hutu tujisenti twa akina mwakyembe...........
unajua inauma unapoona pccb hawawwezi kubaini wizi mkubwa uliowazi ila wanaweza kubaini tuposho aibu..............mwandishi una chuki binafsi........tutakuja kutoana macho hapo baadaye......................
japo mvumilivu hula mbivu.....................................
Jile.
Heshima yako mzee.
Mwizi ni mwizi tu.Aliyeiba kuku na yule aliyeiba ng'ombe wote ni wezi.Kinachokuja kuwatofautisha ni baada ya hukumu kutolewa.
Sina neno lingine lenye uwezo wa kuwakilisha mwizi wa kuku na mwizi wa ngo'ombe
Kulingana na post yako basi Mwakyembe ni Fisadi mtoto na Lowasa na RA ni mafisadi wakubwa.
Lakini baado maana yake iko palepale kwamba wote ni wezi na wanaiba pesa za wananchi.
Kwa kukusaidia, Ninakuomba utafute thread za Mwanakijiji au nakala yake moja aliandika kwenye gazeti la mwanahalisi jinsi anavyowaelezea hawa wanaojiita wapiganaji.Hakuna kitu hapo.Zote ni mbio za kukimbilia madaraka.wnatamani kutuua kwa ajili ya kukimbilia vyeo.
Kwanini alikuwa anaogopa kwenda tangu mwanzo?Hana usafi wowote huyu bwana zaidi ya njaa kumsumbua.