wawahoji na kuelewa chanzo cha tatizo ili walifanyie kazi sio iwe ni kuhoji kwa kuwa wao wamehoji ufanisi wa TAKUKURU
Tatizo hilo lipo la kupokea posho mara mbili na halina na kinara wa ufisadi wala nani. wakimaliza kuhoji wabunge waende kuhoji wizara na taasisi za umma zinazolipa wabunge posho huku zikijua kuwa washapewa na ofisi ya bunge.
Nilishawai kusema, hizi posho zinatumika kama girisi kulainisha wabunge ili miswada na taarifa za serikali zipite kiulanini. wacha zipigwe marufuku ili wabunge wawe serious wanapopitia miswada na taarifa mbalimbali za serikali
pamoja na yote, maazimio ya bunge kuhusu mkuu wa TAKUKURU yapo palepale, labda nae akimbilie kustaafu mapema kama wenzie kadhaa