Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji ume-expire?

Kumbe unatakiwa uwe unaongea ongea hata kama ni pumba ili mtaji wako usiexpire....vipi mzee hapa unaimanisha hiki kweli?
 
Mi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!

Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!

Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!
 
watz hatuna shukrani....................kwani ripoti ya ile kamati hukuipenda na bado huipendi mpaka unaamua kuamini kuwa ulikuwa mtaji wa kisiasa..........wajinga ndio waliwao...bado huoni tulivyokuwa tunanyonywa usiku na mchana mpaka unaamua kwa makusudi kuita mtaji wa kisiasa.............yaani mambo yaliyofichuliwa kwa uzalendo,uchungu na ujasili wa ajabu unayageuza kuwa mtaji..............tutapata wapi tena watu wajasili wa namna hii......................haya tufanye ulikuwa mtaji je watz hatujafaidi.............mbona tulikuwa tunanyonywa vibaya na watu watatu tu(lowasa,rostam na kikwete)? wakati nchi ni yetu sote.........yaani hawa watatu walipoingia madarakani tu(nasema waliingia madarakani kwa kuwa jk amewekwa mfukoni) wakaamua kujitengenezea kampuni la kitapeli..........unadhani kwa nini ripoto inapigwa danadana?
Kujua na kuelewa ni kaziii............
Hatimaye mpiganaji ameamua kutii Sheria ya Nchi ambayo ameshiriki mwenyewe kuitunga? Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji wa kisiasa ume-expire?
 
wawahoji na kuelewa chanzo cha tatizo ili walifanyie kazi sio iwe ni kuhoji kwa kuwa wao wamehoji ufanisi wa TAKUKURU

Tatizo hilo lipo la kupokea posho mara mbili na halina na kinara wa ufisadi wala nani. wakimaliza kuhoji wabunge waende kuhoji wizara na taasisi za umma zinazolipa wabunge posho huku zikijua kuwa washapewa na ofisi ya bunge.

Nilishawai kusema, hizi posho zinatumika kama girisi kulainisha wabunge ili miswada na taarifa za serikali zipite kiulanini. wacha zipigwe marufuku ili wabunge wawe serious wanapopitia miswada na taarifa mbalimbali za serikali

pamoja na yote, maazimio ya bunge kuhusu mkuu wa TAKUKURU yapo palepale, labda nae akimbilie kustaafu mapema kama wenzie kadhaa
 
Mi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!

Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!

Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!

mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
 
of course hilo ndio muhimu kwetu...........
 
mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
we kigogo vp???????????????/
ulitaka agomee sheria.........
tatizo uelewa.....
yeye hakugoma kuhojiwa.........
aligoma conflict of affairs kati ya pccb na bunge ukizingatia....
ajenda nzito na tuhuma zile zidi ya takukuru.
kuelewa haya ni kazi iwapo umenunuliwa na mafisadi
 
Hivi ni kweli amehojiwa au ni uvumi kuwa amehojiwa? Hata kama amehojiwa, hajawa mwoga na mjinga. Mwoga ni yule anayeogopa kukemea maovu na mjinga ni yule anayedanganganywa kuwa hakuna ufisadi Tanzania na yeye kupiga debe kuwa hakuna.
 
wawahoji na kuelewa chanzo cha tatizo ili walifanyie kazi sio iwe ni kuhoji kwa kuwa wao wamehoji ufanisi wa TAKUKURU

Tatizo hilo lipo la kupokea posho mara mbili na halina na kinara wa ufisadi wala nani. wakimaliza kuhoji wabunge waende kuhoji wizara na taasisi za umma zinazolipa wabunge posho huku zikijua kuwa washapewa na ofisi ya bunge.

Nilishawai kusema, hizi posho zinatumika kama girisi kulainisha wabunge ili miswada na taarifa za serikali zipite kiulanini. wacha zipigwe marufuku ili wabunge wawe serious wanapopitia miswada na taarifa mbalimbali za serikali

pamoja na yote, maazimio ya bunge kuhusu mkuu wa TAKUKURU yapo palepale, labda nae akimbilie kustaafu mapema kama wenzie kadhaa

Si hivyo tu mkuu, wakitaka wahoji wafanyakazi wote wa serikali jinsi ambavyo wanapokea posho mara tatu tatu. Hata wakuu kabisa wa wizara na taasisi wanapokea. Huo ni mtindo ambao uko serikalini na hautakaa ukome kabisa. Yaani nashangaa kwa nini tunapoteza muda na posho za kuwahoji hawa watu, eti tunatwangia maji ndani ya kinu??

Nina hakika hao wa PCCB wanaohoji nao wanalipwa posho maalum??!!! Nami ningehoji pia hiyo ni sehemu ya kazi yao na iko covered ndani ya mishahara na hawastahili posho!!! Je watajiteteaje?? Acheni kuleta porojo.

Tunashughulikia pety pety issues badala ya priorities za maoendeleo. Tanzania is termed as poor or least developed or developing country as its authority has chosen to be so!!!! Tanzania is not poor only that we have chosen to be poor!! Hakuna priority za maendeleo.
 
we kigogo vp???????????????/
ulitaka agomee sheria.........
tatizo uelewa.....
yeye hakugoma kuhojiwa.........
aligoma conflict of affairs kati ya pccb na bunge ukizingatia....
ajenda nzito na tuhuma zile zidi ya takukuru.
kuelewa haya ni kazi iwapo umenunuliwa na mafisadi

Akishindwa kukuelewa hapa basi tena! wengi hawakujua sababu mwanzoni!
 
Mi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!

Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!

Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!
Very true PJ they are heroes, kwanza hatuna hata uhakika kama waliwahoji kweli
 
Si hivyo tu mkuu, wakitaka wahoji wafanyakazi wote wa serikali jinsi ambavyo wanapokea posho mara tatu tatu. Hata wakuu kabisa wa wizara na taasisi wanapokea. Huo ni mtindo ambao uko serikalini na hautakaa ukome kabisa. Yaani nashangaa kwa nini tunapoteza muda na posho za kuwahoji hawa watu, eti tunatwangia maji ndani ya kinu??

Nina hakika hao wa PCCB wanaohoji nao wanalipwa posho maalum??!!! Nami ningehoji pia hiyo ni sehemu ya kazi yao na iko covered ndani ya mishahara na hawastahili posho!!! Je watajiteteaje?? Acheni kuleta porojo.

Tunashughulikia pety pety issues badala ya priorities za maoendeleo. Tanzania is termed as poor or least developed or developing country as its authority has chosen to be so!!!! Tanzania is not poor only that we have chosen to be poor!! Hakuna priority za maendeleo.

Tanzania is not poor, it is poorly managed!
 
Hivi ni kweli amehojiwa au ni uvumi kuwa amehojiwa? Hata kama amehojiwa, hajawa mwoga na mjinga. Mwoga ni yule anayeogopa kukemea maovu na mjinga ni yule anayedanganganywa kuwa hakuna ufisadi Tanzania na yeye kupiga debe kuwa hakuna.
ya ukweli mtupu..............sisi watz tumepata ambacho hatukutegemea.....faida kubwa kutoka kwa kamati ya mwakyembe.
tunamuomba mungu atupe akina mwakyembe,selelii,mpendazoe wengine wengi ila asitupe akina zitto maana ni rahisi kununulika kwa vijisenti.............
 
Si hivyo tu mkuu, wakitaka wahoji wafanyakazi wote wa serikali jinsi ambavyo wanapokea posho mara tatu tatu. Hata wakuu kabisa wa wizara na taasisi wanapokea. Huo ni mtindo ambao uko serikalini na hautakaa ukome kabisa. Yaani nashangaa kwa nini tunapoteza muda na posho za kuwahoji hawa watu, eti tunatwangia maji ndani ya kinu??

Nina hakika hao wa PCCB wanaohoji nao wanalipwa posho maalum??!!! Nami ningehoji pia hiyo ni sehemu ya kazi yao na iko covered ndani ya mishahara na hawastahili posho!!! Je watajiteteaje?? Acheni kuleta porojo.

Tunashughulikia pety pety issues badala ya priorities za maoendeleo. Tanzania is termed as poor or least developed or developing country as its authority has chosen to be so!!!! Tanzania is not poor only that we have chosen to be poor!! Hakuna priority za maendeleo.

Hakuna mwenye moral authority juu ya posho mbili mbili!!

Tafuta mtu pale PISISIBI akwambie, wale jamaa wanaowahoji wabunge wanalipwa allowance maalamu wakati hiyo ndiyo kazi yao ya msingi waliyoajiriwa nayo!!

Kwenye posho mbili sidhani kama kuna mtumishi wa serikali atakayepona, naamini mpaka Muungwana!!

Hebu fikiria, dreva anaajiriwa kwa ajiri ya kumsafirisha ofisa husika toka point A kwenda point B lakini cha kushangaza madereva wa serikalini akimbeba bosi wake kumpeleka mfano Courtyard hotel (labda kutoka wizarani)kwenye mkutano na yeye dreva analipwa sitting allowance, je kazi ya dreva ni nini serikalini???
 
ya ukweli mtupu..............sisi watz tumepata ambacho hatukutegemea.....faida kubwa kutoka kwa kamati ya mwakyembe.
tunamuomba mungu atupe akina mwakyembe,selelii,mpendazoe wengine wengi ila asitupe akina zitto maana ni rahisi kununulika kwa vijisenti.............[/QUOTE]

Mkuu unamaanisha kuwepo kwa Zitto kwenye ile kamati ya Bomani (kupitia mikataba ya madini) ilikuwa 'rushwa'??? Je ndio maana hatujaona chochote kilichofanyiwa kazi?????? LOL!
 
Kuwahoji au kotowahoji, hakutomtakasa Hosea na mikingamo ya Richmond na mengineyo mengi tunayoambiwa. Wabunge wote hukirimiwa wakiwa katika kamati mbalimbali, na ndio maana huwa wanajitahidi wawemo ndani ya hizo kamati. Mawaziri hali kadhalika nao pia hupokea takrima. Ikiwa wao Takukuru walifanya semina, na wakawapa wabunge "posho" huku wakijua fika kuwa watalivumbua hili la posho mbili!! Imani yetu WaTz inazidi kufifia ktk chombo hiki muhimu.
 
Nafikiri wamefanya vema kukubali kuhojiwa kama kweli ulichosiia ni sahihi, itasaidia kuziba mianya ya hisia ambazo tungezijenga kwa watu kama mwakyembe kwamba kugoma kuhojiwa ni hofu inayoashiria kujificha dhidi ya uovu fulani.

ikumbukwe tu kwamba TAKUKURU ni chombo kilichoanzishwa kwa mujibu wa sheria ambazo akina mwakyembe na mpendazoe walihusika kuzipitisha kama siyo kuziunda hivyo kuutangazia umma kwamba mtu amegoma kuhojiwa na chombo hicho natumai siyo busara.
 
.

Aliambiwa tangu mwanzo kuwa hakuna aliyejuu ya sheria?Yeye akaleta u richmond .Ohoo mbona mwenyewe pccb walinipa posho .ohoo.mimi mwanasheria niliye bobea.ohooo mbona waandishi wa habari wanakunywa chai yetu.Ujinga mtupu.Mnakula pesa za wananchi halafu mnajifanya waasafi.Pumbavu.acha sheria ichukue mkondo wake.
 
mitusi yote hii ya nini ndugu yangu............................
mbona akina lowasa,rostam na kikwete walijiundia kampuni hewa wamechota pesa mpaka wamechoka tunatumbua mimacho tu akina hosea wanaficha ukweli afu wanataka kuwachunguza walioleta ukweli....................sembuse hutu tujisenti twa akina mwakyembe...........
unajua inauma unapoona pccb hawawwezi kubaini wizi mkubwa uliowazi ila wanaweza kubaini tuposho aibu..............mwandishi una chuki binafsi........tutakuja kutoana macho hapo baadaye......................
japo mvumilivu hula mbivu.....................................
 
, Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.

naomba kuwasilisha

eheeeeeeeeee yamekua hayo tena????
 
Back
Top Bottom