Ungekua na CV ya kueleweka ungeelewa tatizo elimu yako ya kuunga unga ndo maana unaona kazi za mashirika ya kimataifa unapewa tu kama uteuzi wa DEDWaliomtuma wamempa kazi ! Una mfano wa mgonjwa wa Zika popote utuonyeshe !?
That is neither here nor there.Huku malofa wakiponda kila kitu !
Tena niliona kama Rais ameongea kwa uchungu sana aiseeee
jamaa ni jauBinafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.
Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?
Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.
Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.
Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.
Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Gavana Ndullu alistaafu mkuu.Kwa mtindo huu, je nitakuwa nakosea nikitabili kuwa siku moja huko mbele tutakuja kuambiwa Benno Ndullu nae alifukuzwa kazi kama gavana wa BOT kwa kufanya kazi kwa maelekezo ya mabeberu? Na sasa hao hao wamemtafutia kazi huko aliko!!!
Hata kama wewe ni nani ukiomba ukanyimwa usije waka tamaa ya malipizi.Magufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku
Acha kuzungumza mambo usiyoyajua' unajua part wanayofanya, waliyokwisha fanya shirika la who kwenye maisha ya binadamu wa Tz?Waache tu. Kwanini watulazimishe kutoa taarifa za uongo. Accreditation ya vyombo vyetu vya kitafiti vitakuwa compromised kama tutaendelea kupelekwa namna hii. Lazima tujiamini.
Pumbavu!
Pamoja na hayo, haimaanishi kuwa sisi tusiokuwepo hatumtazami...wote tuna mtazama na kumsikiliza lakini ni dhahiri shahili kwamba hatuwezi kumchukulia sawa...tofauti yako na hao wanao mtazama ni wewe kuwa haupo hapo !
Karithi sura tu toka kwa baba yake. Akili yake kaipata elsewhere.
Unataka kusema nini doctor??Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Huyo mwanamke alitangaza jambo hadharani pasipo kuongea kwanza na bosi wake ambaye ni waziri wa afya anayefanya kazi chini ya rais wa nchi.Hata Mimi nashangaa sana.
Unajua siyo kitu kizuri KWA mwanaume kugombana au kuzozana NA mwanamke kulingana NA utamaduni wa kiafrika. Mwanamke mwingine ktk ugomvi Ka!a huu anaweza kukudhalilisha KWA umma, anaweza kusema kuwa "ulimtongoza kisha akakulkatalia" ndio maana unamsakama sana.
Zika ni virus ambavyo huenezwa na mbu. Dalili homa kali.Kwani mkuu unafahamu Zika ni nini?
Nasubiri jibu.
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.