Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Hahaha inasikitisha sana
 
Usitegemee hekima kutoka kwa Lofa aka Ufipa !
Acha ushamba wa kijuha kudhani kila anayemstukia kichaa wa magogoni ana uhusiano na Ufipa, wanasiasa wote ni walewale(my opinion) lakini kichaa mkuu hatakuja kuwa na busara kamwe kama mpaka umri huo aliofika na madaraka aliyonayo hajaweza kuwa hata na chembe za busara. He is a self-centered mental retarded asshole na ni tyrant flani anayefurahia ku'bully wenzake.
 

Huyu Dada anathibitisha kweli ana elimu ya nguvu na hategemei mbeleko kwenye maisha. Sio akina Nape, January, Ngeleja nk wanaume wazima walishindwa kusimamia wanachokiamini kwani wana elimu zenye mashaka na wanategemea siasa za mbeleko.
 

Kwani nani alisema kuna ugonjwa wa Zika? Rais wetu ni msomi na alistahili kuelewa maana ya taarifa ya utafiti. Reaction yake imekuwa kama ya mtu asiyekuwa na elimu ya kutosha kabisa.
 
Kuna viongozi wa ajabu nchi hii!

Hivi Tuhuma kubwa kama ya Lissu kupigwa risasi huna pakuanzia kisa dereva wake hayupo halafu unaunganisha na mauaji ya akina Chacha Wangwe(R.I.P) ukitaka kuwahusisha viongozi wa CDM.

OK, sasa tuseme viongozi wa CDM wanauhalali wa kupanga njama dhidi ya watu wao wenyewe kiasi kwamba vyombo vya ulinzi na usalama visiwakamate?

Madhara ya kuficha au kulea maovu nafikiri akina Nape wameshaona na kila moja ataona hata kama si moja kwa moja
 

The Elephant,
Huhitaji kuwa na elimu ya kurusha roketi angani ili kujua wahusika wa shambulio la Mhe. Tundu Lissu.
Magufuli na Serikali yake wanajua kabisa nani alihusika au kutia mkono wake kwenye shambulio hilo....!!!
Watu husema hakuna SIRI chini ya jua......iko siku haya mambo yatawekwa hadharani tu kama ambavyo tuliwezaa kushuhudia mtandao wa Wiki Leaks ukimwaga radhi dunia mzima.....!!
 
Magufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku
Hii inaonyesha ni jinsi gani akitatizwa na mambo huwa anakosa usingizi.

Sasa hiyo saa 7:30 usiku alimfukuzaje? Alimpigia simu kumtaarifu kuwa amefukuzwa au alikaa yeye na Katibu Kiongozi kumuandikia barua ya kumfukuza .... Technically it's not true!!?
 
THANKS MADAM
 
Shinda kubwa wa magufuli ni kwamba hataki kuambiwa kitu, anajifanya yeye ni mungu fulani hivi
 
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Asante kwa hili dada yangu, but the problem is here, magufuli does not even have a clue what thesis is, inspite of him being called dr pombe magufuli, 2 people who have low thinking capacity,people who are academic dwarfs will always fear people who are or who have high intellect, magufuli really fears smart and intelligent people, thats why you see he is sorrounded by sycophants and bootlickers
 
Duh sisi ambao tulikuwa tunasindikiza walio soma hatujui chochote tunachojua ni tumbo lijae ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…